Hahahahahaha mkuu Fredy bado ligi hajaiweza, na ni kosa kubwa kumpa mechi kubwa kama hii. Badala ya kurudisha confidence, unaweza kuiooteza moja kwa moja.
Kumbuka mechi kama hizi huwa zinawapoteza kabisa wachezaji kwenye ulimwengu wa soka
Kumchezesha James Garner hii game ni kumuonea pia. Huyu dogo wa miaka 17 hajawahi kucheza hata dhidi ya Reading halafu leo umpange acheze na Liverpool .... Hii haitamsaidia kabisa dogo.