Ndio maana hawa madogo akina rashford bado saaaaana pale mbele yaan baaaado sana kufika level hata za akina vaneestroy yaan nikiwachek wanavoruka ruka mbele pale hua napata hasira saaana sijui hua hawachek zile clip za akina rud yaan inaboa madogo hao sio carible ya man u waende kwa mkopo somewhere like wolves wakapambane namba na akina jimenez kule wajue thaman ya kua united striker sijui hua hawaangalii hata clip za mtu mweus luis saha mamaeeee