msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,696
- 8,821
Kuchukua makombe hakumfanyi awe kocha bora.....mim ukiniwekea mou na poch hapa nitamfata pochUnamuita kocha mwenye makombe 20+, mwenye uefa zake, aliewahi kuchukua treble sio kocha mzuri sababu ya kocha mwenye makombe matatu ya ndondo cup????
Tuna safari ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, kwa sababu unacheza mpira ili uwe loserKuchukua makombe hakumfanyi awe kocha bora.....mim ukiniwekea mou na poch hapa nitamfata poch
Aletwe Dyabala tuwe na Paulo 2. Dogo anaweza ku-assist na kua-atackKwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa
Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality
Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo
Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.
Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185
United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini
Sent using Jamii Forums mobile app
Pointi yako ni ipi hasaUnamuita kocha mwenye makombe 20+, mwenye uefa zake, aliewahi kuchukua treble sio kocha mzuri sababu ya kocha mwenye makombe matatu ya ndondo cup????
Tuna safari ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa zama sahizi huwez cheza mpira kama wa jose halafu ukategemea kushindana kweny makombe na makocha kama wakina pep ....
Kwahiyo huyu kocha alieokotwa mtaani ndio wa kupambana na Guardiola?Kwa zama sahizi huwez cheza mpira kama wa jose halafu ukategemea kushindana kweny makombe na makocha kama wakina pep ....
Hv Solari alikuwa anafundisha wapi?Kwahiyo huyu kocha alieokotwa mtaani ndio wa kupambana na Guardiola?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huyu kocha alieokotwa mtaani ndio wa kupambana na Guardiola?
Sent using Jamii Forums mobile app
Career yake alishaanza kuitengeneza tangu pale alipoishusha daraja Cardiff, he is 45 now and soon atakua 46Huyu ndo anaanza kutengeneza career yake .muda wa kumpa hukumu bado sana.
Kwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa
Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality
Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo
Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.
Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185
United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nani huyo? Kafanya nini kwenye mpira? Au kumfunga atletico ni kombe siku hizi?
Waliompa kazi, wanaufahamu mpira na siasa zinazouzunguka kuliko sisi Chief. Wenzetu wanafanya maamuzi with purpose. Sosha tumeelezwa ni interim Manager wakati wana-scout na ku-negotiate na Manager atakayekuwa potential.Ndio nani huyo? Kafanya nini kwenye mpira? Au kumfunga atletico ni kombe siku hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,Waliompa kazi, wanaufahamu mpira na siasa zinazouzunguka kuliko sisi Chief. Wenzetu wanafanya maamuzi with purpose. Sosha tumeelezwa ni interim Manager wakati wana-scout na ku-negotiate na Manager atakayekuwa potential.
Wapo coaches experienced, wanachapwa vema you. United hakutaka pupa ya kuajiri manager kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hakuna mwenye football knowledge!! How can someone invest mega capital in business he doesn't know? Ni kiasi gani cha share capital kinamilikiwa na familia ya Glazzer?Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,
Wamefanikiwa sana maana wameajiri kocha wa ndio mzee kwa kila kitu, hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari, bad enough anakuambia can't wait for this TW to close, na hiki ndio akina Woodward walikua wanakihitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wachezaji unaowataka unadhani wangetolewa wapi dirisha dogo chief?Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,
Wamefanikiwa sana maana wameajiri kocha wa ndio mzee kwa kila kitu, hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari, bad enough anakuambia can't wait for this TW to close, na hiki ndio akina Woodward walikua wanakihitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
May be kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali moja, unajua kabla ya Glazers' kuanza kuimiliki utd ilikua na deni kiasi gani? Na saizi utd ina deni kiasi gani? Hizo pesa zimetumika wapi?Eti hakuna mwenye football knowledge!! How can someone invest mega capital in business he doesn't know? Ni kiasi gani cha share capital kinamilikiwa na familia ya Glazzer?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wachezaji wengi wazuri wenye ndoto za kuchezea utd wana release clause, just pay the amount required alafu uone timu gani itakataa kuuza wachezaji kama pesa itatolewa.Hao wachezaji unaowataka unadhani wangetolewa wapi dirisha dogo chief?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Walompa kazi kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge""........Waliompa kazi huyo kocha wenu hakuna hata mmoja mwenye football knowledge , ni ma bankers wenye lengo la kuikamua utd ibaki kama Newcastle ndio maana waliona wamfukuze Mourinho maana walijua atahitaji kuspend ili tupate makombe,
Wamefanikiwa sana maana wameajiri kocha wa ndio mzee kwa kila kitu, hatuna full backs wakuaminika, hatuna CB wa kuaminika zaidi ya Lindelof na hatuna RW lakini dirisha la usajili linafungwa kocha hana habari, bad enough anakuambia can't wait for this TW to close, na hiki ndio akina Woodward walikua wanakihitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vilabu vya Ulaya siyo Charity. Ni Kampuni za biashara. Mbali na kutakiwa ku-balance kwa kutupa furaha mashabiki ambao ndo mtaji wao mkubwa, na sisi hatuna budi kufahamu kuwa wanafanya business. Dirisha dogo unaweza uziwa mchezaji wa kiwango kidogo lakini kwa hela kubwa. Wachezaji wa kutufaa sisi tusingewapata dirisha dogo labda wale wa kukuza 1.May be kabla sijakujibu swali lako nikuulize swali moja, unajua kabla ya Glazers' kuanza kuimiliki utd ilikua na deni kiasi gani? Na saizi utd ina deni kiasi gani? Hizo pesa zimetumika wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app