Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbappe soon tu anaweza akatua apo Stamford ..lolote laweza kutokeaa..

Acha tufurahi kwanza kwa hisani yake..

GGMU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una ndoto za mchana kweli, Mbape aende Chelsea, wakati akina Hazard wanaikimbia timu ndogo hiyo

Ninakubaliana na wewe, huu ndio muda wako wa kufurahi maana kuanzia tarehe 18 mpaka February inaisha itakuwa ni kilio tu kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha wewe kunifunga mimi labda Mou arudi..lakini uyo Ole atakuwa na kibarua kigumu sana..

Maana katika gemu mbili ambazo tutakutana ..wewe hutoshinda gemu hata moja..

Sana sana utaambulia draw tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morinho anayewashindwa Wolves au West Ham?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..

United Fan
Jana nimewaza ni bora hata kwenda kumchukua tahit chong kule chini tujue tunakuza kipaji hata kukokota hawezi hiu buashara ilikuwa hovyo sana ujue mourinho alikuwa anablok sajili za pep kama ilivyo kwa fred
 
Mbappe soon tu anaweza akatua apo Stamford ..lolote laweza kutokeaa..

Acha tufurahi kwanza kwa hisani yake..

GGMU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei yake si gharama nzima ya club cha chelsea na pesa za mwenyetimu ukijumlisha ina maana kiuzwe chelsea anunuliwe mbape

Mzee utani

Ila ki ukweli mbape yupo vizur sana anasifa zote za ustriker au wing

Rashford kaachwa mbali sana
 
Jana baada ya kutoka lingard nilitegemea kumuona lukaku akiingia sio mata kwa gem ya jana kwa upande wangu naona kocha alichemka hapa
 
Tanayzer ,labda unazizungumzia paundi millioni 370 za mugabe na mtoaji ni muarabu mwenye dhumuni halisi la kujenga timu ya ushindani kwa muda mfupi, fikiria kama chini ya utawala wa jose mourinho na louis van gaal matumizi yetu kwa miaka 3 ni wastani wa paundi millioni 300 kwa kila mmoja hivi unadhani itawezekana kwa matajiri wale kutoa hela hiyo kwa msimu mmoja?
tusubiri tuone kwa atakayebahatika kuwa hai.​

ishu nyengine tatizo si matumizi makubwa bali ni kupata wachezaji ambao watatutoa hapa tulipokwama na kutusogeza mbele kwa msimu mmoja tu pindi watakaposajiliwa, mbona timu kama napoli, tottenham wametumia hela ya kawaida na wamefanikiwa kupata wachezaji wanaoendana na soka la karne hii?
tumelipa paundi millioni 50 kwa fred ametupeleka wapi?
tumefanya swap deal kwa alex sanchez ametupeleka wapi?​

pia timu yetu tuna ukosefu wa football intelligence players na ndipo tatizo jengine linapoanzia, ukimuondoa paul pogba, ander herrera na nemanja matic sioni mchezaji mwengine mwenye jicho la tatu la mpira, timu kama manchester city kila msimu wanawaongezea wachezaji hawa lakini sisi tumekuwa kimya na nashindwa kuelewa kwa nini tumekuwa wapofu kwenye soko la usajili.
Leo hii mpira akiumiliki ashley young, lingard, rashford na wengineo kwa kiasi kikubwa sana unajua tukio gani anakwenda kulifanya tofauti na wachezaji kama david silva, kelvin de bruyne, silva, sane, aguero, gundogan n.ka
 
Tatizo kubwa ninaloliona team inasajili wachezaji bila kuangalia kama wanafita kwenye timu. Ili mradi mchezaji ana Jina basi wanachukua.hii ni hatari.

Sent using simu mbovu
 
Unajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..

United Fan
Mourinho aliwasajili Fred na Sanchez ili kuibania Man City,kumbuka Pep alikua anataka kumsajili Fred ili aje kumpunguzia majukumu Fernandinho na Sanchez alikua asajiliwe ili kuziba pengo la Sane alipopata majeruhi..!
Mourinho akaona haiwezekani Guardiola awasajili hao wachezaji,akaamua kutia fitna..!
Kinachotokea ni matokeo ya kusajili mchezaji ambaye haumuhitaji..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…