Arsenane wameshika nafasi ya 5 sababu ya herufi A basi wamefurahiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE KALA ZOTE.Chelsea akikaa vibaya kesho anakula mkono
Na kufunga kote huku aguero hana kiatu cha dhahabu
Sent using Jamii Forums mobile app
basi fanya kama unajikuna hiviNani anashika nafasi ya sita?
Iyo nafasi ni ya watu.
Leo mpka saa tatu utakuwa nafasi ya tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
All in all MAN CITY ANA KIKOSI KIPANA yaani inatoka AK47 inaingia AK47 nyingne UWEKEZAJI unalipa aiseee
City wamewekeza kweli.
Fikiria anatoka Kun anaingia Jesus, wote hawa wanaweza kupunguza mabeki na ni tishio kwa walinzi.
Kwetu Lukaku hata mpira kuutuliza ni kazi,kuuweka kifuani ndio mtihani kabisaa.
Bench la Citizens ukiliangalia linakupa matumaini maana wachezaji wapo kwenye viwango vyao,sisi leo anacheza vizuri kesho hamna kitu.
Amini nakuambia na userious wao wote pep hatonyanyua ndoo ya epl mara tatu kabla hajafukuzwaKabisa aisee leo aumie pogba au herera au matic tayar tafrani ila city wana benjemin mendy fundi majeruh hata hatumkumbuki kuna mda dkk za mwisho anaingia silva dah hapo sane katulia nje gabriel jesus nae jamaa sio wa kuwachukulia poa they are real serious toka pep atimbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nakuambia na userious wao wote pep hatonyanyua ndoo ya epl mara tatu kabla hajafukuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana haongozi kwa herufi A.
Arsenal na Chelsix wana points sawa na GD sawa.
• Arsenal amefunga magoli 53
• Chelsix amefunga magoli 45
Kwahiyi Arsenal anaongoza kwasababu amefunga magoli menhi kuliko Chelsix.
EPL (FA) hawaangalii Head2Head ! Ingelikuwa wanaangali H2H pia Arsenal angelikuwa juu ya Chelsix.
Tunarudi kwenye hoja ya JoséKabisa aisee leo aumie pogba au herera au matic tayar tafrani ila city wana benjemin mendy fundi majeruh hata hatumkumbuki kuna mda dkk za mwisho anaingia silva dah hapo sane katulia nje gabriel jesus nae jamaa sio wa kuwachukulia poa they are real serious toka pep atimbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarudi kwenye hoja ya José
Matajiri wa timu yetu ni mabahiri sana
Pep kapewa pesa na mwarabu akasajili timu nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarudi kwenye hoja ya José
Matajiri wa timu yetu ni mabahiri sana
Pep kapewa pesa na mwarabu akasajili timu nzima
Sent using Jamii Forums mobile app