Nilikwambia mapema utakuwa wa 6 umeamini?Nani anashika nafasi ya sita?
Iyo nafasi ni ya watu.
Leo mpka saa tatu utakuwa nafasi ya tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaa ni muhimu kurudisha hisani.... lakini katimu chenyewe mapafu yamejaa moshi unategemea nini
Hana ubavu wa kutokea tena hapa mwaka huu. Hadi 2020.Msaada anayejua wodi aliyolazwa Ollachuga Oc tafadhali atoe taarifa maana inasemekana amenusurika kujinyonga, Ss hv yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari
Zile tulipigwa Man U zilikuwa na sababu.New name in town CHELSIX
Watasema sababu ni sari hakuvuta sigara kabla ya mechiZile tulipigwa Man U zilikuwa na sababu.
Ambayo ilikuwa ni red card kwa Jonny Evans na hata hivyo tulipata goli 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Watasema sababu ni sari hakuvuta sigara kabla ya mechi
.