Kwa kweli hali yao inasikitisha sana maana pamoja na kuwa juu hawajui nini wafanye kuendelea kuwa hapoHahaha mkuu hawa liver kwa kweli wana hali tete tunaweza kuzipata point 3 muhimu kirahis kwenye game yetu na wao bila kutarajia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hali yao inasikitisha sana maana pamoja na kuwa juu hawajui nini wafanye kuendelea kuwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana na ww lakini kwa kuongezea ni kwamba team ikiwa na ushindi mfululizo hata ikikutana na big team hawezi kupoteza kirahisi kwakua players watakua na winning mentalityUko sawa kabisa mkuu
Ila ukiangalia sisi tumebakiza game ngumu sana compared na arrsenal
Ni bora arsenal aliekutana na mancity na liver mapema sisi tutakutana nao muda ambao tuna fixtures nying na ushindani wao wa title race utakuwa mkubwa zaidi.
All in all OLE kajitaidi sana tunachukua points kwa timu ndogo.
Tukishacheza na liver na mancity ndo tuangalie table tena.
Kama tutakuwa bado juu ya asernal bas tujitambe kuwa hatuta
That would be a fair comparison.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunakutana nao Lin?Hahaha mkuu hawa liver kwa kweli wana hali tete tunaweza kuzipata point 3 muhimu kirahis kwenye game yetu na wao bila kutarajia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mbali sana, watakuwa wamesha recover mbwa hawa.
Game ngumu sana hii upande wote... Kama tutazidiwa kama mechi ya Spurs tutaangusha point
Sio mbali sana kumbuka wanaweza kuongeza injury players wana game na bournemouth pamoja na bayern kabla ya game yetuAisee mbali sana, watakuwa wamesha recover mbwa hawa.
Kikubwa tuendelee kukusanya pointi kwa hawa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndio kuna nafasi yetu ya big 4Mkuu tusijitape kumpita arsenal
Kumbuka mzunguko wa pili arsenal kashacheza na liver man city na chelsea
Sisi tumecheza na totenham tu
Tusijisifu sana mkuu
All in all GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
AhahaMUTV muda huu wanaonyesha goli zote za ronaldo..kazi hazifanyiki tena hapa
Sawa kabisa mi siwapendi sababu ya kauli za Mane aliwahi kutoa dhidi ya chama pendwa mbwa sn huyuBora nifungwe na Mancity achukue ubingwa kuliko Liverpool, Ki ukwel Siwapendi
Juzi alisema na jana Carragher amerudia kusema kwamba United ana squad kubwa kuliko Liverpool
Mechi ngumu iliyobaki ni moja tu, nayo ni dhidi ya CityGame ngumu sana hii upande wote... Kama tutazidiwa kama mechi ya Spurs tutaangusha point
Alisemaje huyo mchezajiSawa kabisa mi siwapendi sababu ya kauli za Mane aliwahi kutoa dhidi ya chama pendwa mbwa sn huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yule RB wao.Juzi alisema na jana Carragher amerudia kusema kwamba United ana squad kubwa kuliko Liverpool
Kujibu swali lako, Naona Gomes pekee ndio tegemeo aliyepata majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Akaja toa boko tena kwa demba ba wakafa mbiliWalishatuuza wapuuzi hawa miaka Fulani, Mara 2
Gerlad anatoa pasi kwa Drogba
Kuizuia united isitwae ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app