Legend wa man u ni black flani alikua ana balaa miaka hio
Guys, Paul Ince ana bifu na OGS au nini mbona anakomalia sana kwamba ni unfit for a permanent Job ukilinganisha na Pochetino?
Ngap ukooo matokeoo..Wakuu mnatazama game ya liver? wana accumulation of many injury players sasa hii hali ndio naiogopa icje ikatokea kwetu maana hatuna kabsa squad depth ..Ni nzuri ikawapata wapinzani wetu mana itakuwa na faida kwetu kama watakuwa wana struggle kupata matokeo alafu sisi tuendelee kutoa dozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Injury ni balaa mkuuWakuu mnatazama game ya liver? wana accumulation of many injury players sasa hii hali ndio naiogopa icje ikatokea kwetu maana hatuna kabsa squad depth ..Ni nzuri ikawapata wapinzani wetu mana itakuwa na faida kwetu kama watakuwa wana struggle kupata matokeo alafu sisi tuendelee kutoa dozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Liverpool nani tegemeo yuko injured ??Injury ni balaa mkuu
Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January
Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sioni tegemeo aliye na injury. Wachezaji wao muhimu wote wapo uwanjani. Ni moto tu umekata.
Bora tu city achukue. Maana liver bado hawajachukua lakini wameshaanza kuchonga kinoma, wakichukua sasa sijui itakuwaje.Liverpool wakiendelea na masihara City anachukua tena EPL
Nanaa
Injury ni balaa mkuu
Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January
Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimtoa salaa na mane me sioni mchezaji wa maana pale mpaka najiuliza walifikaje hapo walipo
Legends wa Man utd nikiambiwa nitaje 8 kwangu ni Peter Schmeichel, George Best, Andy Cole, Eric Cantons, off course Van De Saar, Paul Schools, Giggs, Rooney nao wanaingia.
Bora nifungwe na Mancity achukue ubingwa kuliko Liverpool, Ki ukwel Siwapendi
Hahaha mkuu hawa liver kwa kweli wana hali tete tunaweza kuzipata point 3 muhimu kirahis kwenye game yetu na wao bila kutarajiaInjury ni balaa mkuu
Lakini na sisi tusisahau kuwa December tulipigwa na injury za kutosha mpaka kuelekea January
Liverpool wasipoangalia, huu utakuwa mwaka wa 30 wakisubiria kuchukua kombe la premier
Sent using Jamii Forums mobile app
Gini,Henderson,trent,Gomez Wote hawa waliouwa kwenye starting xi mara nyingi ni sawa na ss tukose bailly,young,luke shaw na matic afu nje akuna backup zao za kueleweka mkuu