Of course kipa wa Burnley anapaswa kupewa pongezi zaketumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.
kwa game ya leo sina lawama kwa kocha wala mchezaji yeyote...kama kuongoza kila kitu tumeongoza sisi isipokuwa magoli ubora wa kipa wa Burnley ndio uliyotunyima ushindi
Mata, Rashford, Lukaku na Pogba hawa wote walinyimwa magoli na kipa wa upinzani
GGMU
.Mkuu sijasema Lukaku huwa hapotezi nafasi za magoli, huwa anakosa. CR 7, Messi wenyewe sometime huwa wanakosa magoli. Swali ni kwamba je kama striker unatumia nafasi za magoli nyingi kadiri inavyowezekana?
Lukaku ameonesha uwezo wa kufunga magoli akiwa timu ya Taifa, akiwa Everton, akiwa Westbrom na akiwa United. Lukaku amekuwa akitoa assist nyingi tu (kiufupi si selfish player)
Rash sio clinical finisher. Strength kubwa ya Rash ni kasi (msingi mbio). Ana uwezo wa kufunga lakini usitegemee Rashford akupe 20+ goals a season. Kama unataka uchukue premier usimtegemee Rash as a number one striker. Rash ni mbinafsi kiaina. Unaweza kumtegemea Lukaku.
Hapo nimeongelea overall ability ya hao wawili.
Ukiangalia mechi ya jana pia Lukaku amejihusisha kwenye matukio muhimu na amesumbua defense line ya Burnley zaidi. Unaweza kumponda kwamba ni mzito, unaweza mponda kwamba hana kasi ya Rash lakini jambo moja la uhakika, Lukaku aliwa - bully Burnley defenders zaidi. Na uwepo wake mpaka dakika 90 ungeweza kuwa na tija kuliko uwepo wa Rash.
Hapo chini ni observation ya OGS kuhusu uwezo wa Lukaku kufunga magoli katika mazoeziView attachment 1008407
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inaonesha uhalisia wake ilivyo. Tayari bindi keshaingia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo Man United ya 2018/19 tunayoifahamu
Wasaga sumu naona mmepata cha kuongea,tungefungwa sijui mngefanya sherehe na cake juu?
Kweli MUFC ya Ole ni tishio,suluhu watu mnaongea kama tumefungwa😀😀😀
Bora jana tumefungwa,maana mngeweza kufa nyie,toeni hizo sumu maana jana tumefungwa mbili bila na Burnley.asaga
Mkuu mbona una panic, huu ni ushabiki tu. Ila imeniuma maana tulishakodi turubai na watu wa kusaidia kulia msibani.
Anyway hakijaharibika kitu, ngoja tuwatume vijana watusaidie kuvuhamishia pale jirani.
Kuna game nyepesi kwani gemu ziko ngap zimebakia mkuu, umewahi kumuona Bernardo Silva akikaa bench ama umewah kumuona kante akikaa benchNadhan rotation haiepukiki mkuu maana midfield zetu kiukwel kama zitacheza kila game izo ata game nyepes baas game kubwa itakuja kuwa shida sana maana hatuna squad depth tuombe injuries ziwe mbaali na key players wetu tu otherwise rotation ni muhim
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasaga sumu hao wapotezee tu,kuna muda watajidai wanabusara lakini hamna kituWasaga sumu naona mmepata cha kuongea,tungefungwa sijui mngefanya sherehe na cake juu?
Kweli MUFC ya Ole ni tishio,suluhu watu mnaongea kama tumefungwa😀😀😀
Bora jana tumefungwa,maana mngeweza kufa nyie,toeni hizo sumu maana jana tumefungwa mbili bila na Burnley.asaga
Ishu ni kwamba mkuu bado tuna mashindano mengi FA,UCL na ndoto za kumaliza top four same time hatuna squad depth mbele tuna fixtures ngumu kama akutakuwa na rotation baasi wachezaji hawawez kumudu na kuwa na consistency mkuu ni mawazo yangu tu...Kuna game nyepesi kwani gemu ziko ngap zimebakia mkuu, umewahi kumuona Bernardo Silva akikaa bench ama umewah kumuona kante akikaa bench
Mbeleko ipi hiyo ya refa mkuu??Bila ya ile mbeleko ya refa Jana kuna majitu humu yangelia kilio cha paka mwizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ule haujasimama wala nini kaongeza dk5,na ile soft faul ya lingard....Jana kwakweli mumeacha manyoya ilikuwa mchinjwe
Mbon mkuu ni kama miongoni mwa watu wanaoteseka?Mpira ule haujasimama wala nini kaongeza dk5,na ile soft faul ya lingard....Jana kwakweli mumeacha manyoya ilikuwa mchinjwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafaham February kuna fixture ngumu lkn ukweli utabakia ukweli kila match kwetu ni ngumu na zimebakia chache sabb tylishapoteza nyingi na ujue mkuu focus ni top4 hasa kutopoteza match hata moja ya EPL.Ishu ni kwamba mkuu bado tuna mashindano mengi FA,UCL na ndoto za kumaliza top four same time hatuna squad depth mbele tuna fixtures ngumu kama akutakuwa na rotation baasi wachezaji hawawez kumudu na kuwa na consistency mkuu ni mawazo yangu tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninatamani dyaballa aje ingawa ni ngumu sanaNaimani nyuma ya pazia Ed na board wanahangaika sana kupata director of football pia naamini wanahangaika kukusanya taarifa za scouts kuhusu wachezaji wanaoweza kutufaa kuelekea msimu ujao...... Natamani team ingetumia walau paund mil 400 hiv kupata wachezaji 5 tu watuongezee mguvu.... Beki ya kati de light au Koulibally ni sawa... beki no 2 tupate mchezaji mwenye 27/28 ili dalot akue vizuri..... Lounging mkabaji natamani sana tusajili Ndombele au Neves ingawa ndombele ni bei chee sana kuliko Ruben Neves namba 7 inabidi tutafute kibelenge anaejua kudeal na beki vizuri....na namba 10 inabidi tusajili mtu atakae connect vizuri zaidi team yani namba 10 asaidiane na pogba....kama tukisajili hizi sehem 5 usajili sahizi basi naimani tutawania ubingwa next season
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lipo wazi mkuu lakn itategemea na priority za Ole ni tufocus kwenye top four only then hayo mashindano mengine lolote litakalo tokea sawa tu ila naamini tunaweza kupigania ata kombe 1 msimu huu tukalipata na top four tutamaliza Kwa sabb ata ukiangalia matokeo yetu ya jana hayajaathiriwa na rotation kwa kiasi kikubwa team ilicheza vizuri sana ni mapungufu madogo madogo ata shape yetu jana ya kiuchezaji ilibadilika kiasi flani ukilinganisha na game zilizopita jana tulikosa bahat tu muhimu ni kila mechi tukicheza kwa spirit kama ile pamoja wachezaji wakiwa vizuri everything is possible no matter tunacheza na naniNafaham February kuna fixture ngumu lkn ukweli utabakia ukweli kila match kwetu ni ngumu na zimebakia chache sabb tylishapoteza nyingi na ujue mkuu focus ni top4 hasa kutopoteza match hata moja ya EPL.