Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta watu wanabishania Usimba na Uyanga humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hivyo ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.

mpira bila kumuongelea mpinzani hasa nguvu na udhaifu wake na utani pia huo sio mpira.

nawasilisha
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Definitely right thread ya Manchester united lakn mengi yanazungumziwa ni kuhus team nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…