mfano nani labda?? Hazard, Salah, Sterling au Willian ama yupi??Krosi, faulo na kona young hana mchawi hapo kaka... ila anapokutana na winga inayojua kazi vzr utamkataa.. achana na IWOBI nywele zinazidi kichwa,
Yote kwa yote tupate mbadala wake.
Mkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sanaKwahiyo ww unaamini kbs unapomwacha mtu akaribie goli ndio unakuwa umemkaba vzr?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikutana na Salah mwaka jana, na Salah alipotezwa kabisaKrosi, faulo na kona young hana mchawi hapo kaka... ila anapokutana na winga inayojua kazi vzr utamkataa.. achana na IWOBI nywele zinazidi kichwa,
Yote kwa yote tupate mbadala wake.
Nawashangaa sana wanaomdhihaki young, hata style yake ya kukaba ni bora kabisa. Na uzuri wake ni kwamba ni kiraka anayeweza kucheza right au left back na akaperform vizuri pande zote. Tumpe young sifa zake, tusitake kila position iwe na world class player, hakuna timu ya hivyo. Watakuwepo world class na wa kawaida. Naamini hata young ni mchezaji mzuri sana anayeitendea haki namba yake akiwa uwanjani.Mkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana
Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani
Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni
Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mna top four yenu..Top 4 tunaingia, atakaeshuka atajulikana tu...
Hazard aendi popote. Atasaini mkataba mpya mwisho wa msimu.Hazard yule wa Borusia au huyu ambae ataelekea real madrid?... Sioni Sari akifanikiwa chelsea.
Kwa kukazia tena young huwa kwa style yake huwa mara nyingi hufanikiwa kuficha hadi mianya ya kutoa pasi za mwisho kwa mafowadi hadi muda mwngne wanaanza upya mashambuliz enzi zile Garry nevile, Oshea hata Rio walikuwa hawaipatii ipasavyo km young walikuwa wakifanya hivyo rahisi kugeuzwa na washambuliaji wajanja wenye spidi hatimaye kila kila mara maumivu lkn young ameithibiti hyo style ipasavyo. Hivi fikirieni umfuate kichwa kichwa mtu km mbappe akikugeuza fasta tayar goli ameshaliona kwa mispidi yke hvyo mbinu pekee ni km ya young kuwafanya wasicheze kama walivyozoeaMkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana
Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani
Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni
Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kukazia tena young huwa kwa style yake huwa mara nyingi hufanikiwa kuficha hadi mianya ya kutoa pasi za mwisho kwa mafowadi hadi muda mwngne wanaanza upya mashambuliz enzi zile Garry nevile, Oshea hata Rio walikuwa hawaipatii ipasavyo km young walikuwa wakifanya hivyo rahisi kugeuzwa na washambuliaji wajanja wenye spidi hatimaye kila kila mara maumivu lkn young ameithibiti hyo style ipasavyo. Hivi fikirieni umfuate kichwa kichwa mtu km mbappe akikugeuza fasta tayar goli ameshaliona kwa mispidi yke hvyo mbinu pekee ni km ya young kuwafanya wasicheze kama walivyozoeaMkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana
Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani
Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni
Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile gemu ya naikumbuka vizuri wote humu walimsifu youngMkuu umewahi kucheza mpira? Umewahi kukaba? Hivi unapoenda kukaba unakaba kichwa kichwa? Ingekewa mpinzani anapokuja tu na mpira unamfuata kichwa kichwa mbona kupitwa ingekuwa rahisi sana
Lengo la kukaba huku unarudi nyuma ni kutafuta timing ya kuchafua mpira unaokokotwa na mpinzani
Kwa style hiyo hiyo mwaka jana Young alimdhibiti Salah na watu tulimsifia kweli kwamba Salah amewekwa mfukoni
Embu kuanzia leo, angalia mabeki wote mahiri unaowajua ulimwenguni kama huwa wanakaba bila TIMING ...... Chunguza kama mchezaji wa timu pinzani anavyo drible mpira huwa beki harudi nyuma kufanya timing ya kukaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku naamini hivi mkuu, na hua nawashangaa wanaompigia chapuo aje utd
Nakubaliana na wewe,huyo jamaa hana self ambition,sijui kwanini watu wengi wanatamani aje utd
Kwa ile style pia unamchelewesha mpinzani kuleta madhara kwakoNawashangaa sana wanaomdhihaki young, hata style yake ya kukaba ni bora kabisa. Na uzuri wake ni kwamba ni kiraka anayeweza kucheza right au left back na akaperform vizuri pande zote. Tumpe young sifa zake, tusitake kila position iwe na world class player, hakuna timu ya hivyo. Watakuwepo world class na wa kawaida. Naamini hata young ni mchezaji mzuri sana anayeitendea haki namba yake akiwa uwanjani.