Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Uoga ndo huwa unamsumbua jamaa hajiamini kabisaYoung siyo defender, yeye huzuia kwa kurudi nyuma, adui akiingia kwenye yard ndo anaenda kumkaba, huwa simwelewi km ndivyo anavyofundishwa au anajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamtoe aingie dalot?
Young atolewe,anamfanya Iwobi aonekana kama Messi.
Huyu kijana angekuwa na nguvu angetisha sana, battle ya man to man kugombania mpira hawezi.Hakuna kocha ambae atamweka Lingard bench kutokana na workrate yake uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchambua mpira na kufundisha bi vitu viwili tofauti kabsa, sijui kama arsenal bado wanauhitaji wake au wameahirishaKwengineko Ufaransa: Thiery Henry kafungashiwa virago vya kuifundisha Monaco
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal wenyewe wanatujuaga vile tunavyojua kuparanganyua mipango yao na kuwekeza yakwetu.
Nyie bila kuturogea wachezaji wetu hamuwezi kutufunga. Mambo gani haya kila little touch wachezaji wanakwenda muhi2. Mchawi wenu atakuwa wa Mziray. Lukaku naye kama guruwe anadhani hii ni UFC utapigaje mtu teke la sikioni ktk soka?Kipindi cha pili nacho tufunge magoli 2 biashara iishe
Tawi letu hili rubaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kipindi cha pili mmebadilika, mnaweza kupindua matokeo mkiendelea kugangamalaNyie bila kuturogea wachezaji wetu hamuwezi kutufunga. Mambo gani haya kila little touch wachezaji wanakwenda muhi2. Mchawi wenu atakuwa wa Mziray. Lukaku naye kama guruwe anadhani hii ni UFC utapigaje mtu teke la sikioni ktk soka?
Timu yetu bado ina ugonjwa wa miaka iliyopita. Hatutafika mbali kwa miaka kadhaa. Beki mbaya, mid ya wastani kama sio chini yake. Majeruhi kila siku. Yanayokuja yanatatupa heart attack.Naona kipindi cha pili mmebadilika, mnaweza kupindua matokeo mkiendelea kugangamala
Sent using Jamii Forums mobile app