Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa mkuu pia mi naona kama mechi ya spurs upikuwa ndo ufunguo wa kuanza kupigania top 4 hapa ina maana zile timu zilizopo top 5 kwa sasa tuna uhakika wa kuzibutua

Ile game iliwapa sana confidence, hata timu zilizotegemea kuchukua ushindi kirahisi kwenu akili zimewarudi.

Game yetu na ninyi itakuwa na magoli kama 4 na kuendelea, kuna uwezekano wa 3 - 2 in favor of anyone au 4 - 2/3.
 
Mi nilikuwa nasubir mech ya spurs nijue utimamu wa solskajer na wachezaj wetu kama wanaweza kupambana kwa sasa hofu imeisha mech mbili nnazopigia hesabu ni city na liverpool.
 
ila naamini kwa juhudi za rashford, anaenda kuwa our most valuable player ever, for decades, rashford anapiga sana tizi, angalia frame yake inavyochange ndani ya msimu mmoja tuu hadi sasa, anakua player sasa, anapiga tizi la kufa mtu, naamini baada ya miaka mitatu, rashford atakuwa ndie mchezaji anaelipwa zaidi pale OT, atakuwa hotcake, tunashika sehemu za siri asiende madrid kila dirisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wengi wenye talent kubwa ya mpira na kufanikiwa, huwaangushi kirahisi, huwatoi kwenye mpira kirahisi, martial ana talent ila ukimgusa tu kaachia mpira,
Muangalie messi, dybala, robben, hazard, hawana miili, ila huwatoi kwenye reli kirahisi,
Rahsford yeye ni kama ronaldo tu, kipaji sio sana, ila wengi wetu humu tumekua mashabiki wa ronaldo sababu ya kupiga mikwaju hapa na ulaya, anaweka, popote pale anapiga na anaweka, header anaweka, shoto anakuweka, kulia anakuweka, ila talent hana sana, ila tizi analo kupita karibu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwa nasubir mech ya spurs nijue utimamu wa solskajer na wachezaj wetu kama wanaweza kupambana kwa sasa hofu imeisha mech mbili nnazopigia hesabu ni city na liverpool.

Mechi zote ni ngumu kwa kila upande, Liverpool kupata matokeo OT itakuwa ngumu. Ila City watawaua, kiuhalisia City hana mtu wa kusimama naye EPL, labda matokeo yake kibahati tu.
 
Nimeielewa point yako ya kununua wachezaji world class kule nyuma bado sana Jose aliposema timu inahitaji kununua wachezaji ni kweli soka limebadilika sana
 
Mechi zote ni ngumu kwa kila upande, Liverpool kupata matokeo OT itakuwa ngumu. Ila City watawaua, kiuhalisia City hana mtu wa kusimama naye EPL, labda matokeo yake kibahati tu.

Kweli kabisa City balaa lake ni zito mara nyingi anakosa matokeo kutokana na bahati na Liverpool sijui kama wataweza kukaza mpaka mwisho
 
Tulishasema huko nyuma Martial ni mmoja ya wachezaji wenye talent kubwa sana lakini sio mpambanaji ndio maana hata Deschamps alikuwa anamwacha timu ya taifa,now timu ina kocha mpya kile kisingizio cha Mourinho hakipo tena he must work hard otherwise ataishia benchi au kuuzwa.Now ana advantage namba yake hana competitor Rashford anacheza namba 9 while Sanchez majeruhi kama Sanchez akirudi akacheza vizuri next season ataanzia benchi kwa sasa ni ngumu sana kocha kuwapiga benchi Pogba,Lingard na Martial
 
mkuu mbona unapiga hatua kumi mbele na kurudi kumi na moja nyuma?? huku ni kumdisrespect Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…