Mou ni muongo sio kidogo,ingekuwa kipindi chake possession ingekuwa 81% kwa 19% za kwetu. Shots on target tungekuwa na 0 na off target ingekuwa 1. Kwa sasa ni kinyume kabisa. Halafu angekuwa anamtaka Toby ili kupata matokeo.
Asante solskjaer,
GGMU.
Come on reds!!