severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Very poor indeed.poor and boring performance naona leo tumemuenzi Special One
NdioKwa hiyo una maanisha mmebahatisha tu kufunga hizo Goli ukweli ni kwamba mmezidiwa si ndio unachosema
Today He was in JM's era mood.Rashford has a good run but generrally martial is far best than him
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku, kafunga sawa ila anatia aibu
True Martial is more talented than Rash but he is lazy and weak. In terms of energy, work rate and commitment, Rash is far better than Tony.Rashford has a good run but generrally martial is far best than him
Sent using Jamii Forums mobile app
True Martial is more talented than Rash but he is lazy and weak. In terms of energy, work rate and commitment, Rash is far better than Tony.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha msingi tumeshinda ni kweli tumecheza vibaya naona hata mech ya spurs inaweza kuwa tumekea nguv kubwa kuliko kukimbia sana leoWakuu mechi Leo sikuiangalia,vipi kiwango? Nilikuwa nafatilia live score. Nilikuwa naitathimini pia hiyo love score nikaona kama tumecheza hovyo sana mana muda karibia wote madogo walituzidi umiliki,mashuti golini kwetu n.k
Lukaku is not happy, Possibly JM had promised him 90Min of play when ever he wanted, Now He do not know what is going to be of him, Yes He Scores but the boss wants entertaining football, the goals will come, and he does not have an iota of idea about entertainig football.Lukaku need psychology doctor to heal from jm era to #oleball' he is happy but lack few things
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku is not happy, Possibly JM had promised him 90Min of play when ever he wanted, Now He do not know what is going to be of him, Yes He Scores but the boss wants entertaining football, the goals will come, and he does not have an iota of idea about entertainig football.
Well, this man and Big Fella needs psychologists look at them.
Huyu alikua overated sana dizain za akina depay tu mechi kama hizi ndio walitakiwa kukichafua kweli kweliSijawahi kuuelewa mpira anaocheza Fred tangu ajiunge na Man U, tangu mechi za Preseason nilikuwa namfatilia lakini naona sio mkabaji mzuri kabisa, anapiga pasi mbovu, anapoteza mipira sana.Naona hata mkubwa Fella anacheza vizuri zaidi yake, sijajua kwanini Mourinho alimsajili.