Kocha pia kasema hataki kuona lukaku anasimama kule mbele kama zamani inabidi awe anaingia ndani kusaidiana na wenzake kisha wapange mashambulizi pamoja. Kwa sababu ana mbio atawaka tu
Leo amewekwa benchi tutapata tabu sanaaa...huyu dogo anazunguka uwanja mzima kukaba mipira anatufanya tuone mechi rahiiiisi, sasa leo hayupo tumemuacha Martial 'mvivu wa mwisho' hawezi/hajui kukaba 'utadhani ana undugu na kibendera cha kule kushoto, habanduki pale' na hutakaa umuone anapiga krosi hata moja dakika zote 90, Angalao Shaw atapiga krosi 5.