Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii haipaswi kwenda OT. Ni mbaya kwa mipango ya kubeba EPL championship. Kwani game zinakua nyingi wakati husiohitajika.
 
naona gea aendelee tu na taaarab naona tena kuyt kawakosa..
 
Hii imekula kwetu leo,kufungwa lazima lakini maana wachezaji wanafanya mistake zingine ambazo hazina faida
 
kumbe nanyie mna kombe sasa pole sana dirk kuyt kill you smoothly..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…