severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
He said: "It wasn't the best game. We were a bit slow for the first 20 minutes but they settled in and we scored some excellent goals.
bingo, ni ngumu sana kuamini ya kwamba ole gunnar solskjaer ana wiki mbili tokea ajiunge na klabu kama kocha wa muda, maneno yake anayoyazungumza yanakufanya uamini ya kwamba jamaa amekaa na wachezaji kwa zaidi ya msimu mmoja kumbe ni tofauti.Solskjaer on Rashford:View attachment 978781
Kanifurahisha sana hasa finishing za rashford ni mbovu sana hata ukiambiaji wake mourinho kweli alikuwa hatoi maelezo kama haya rashford anahitaji kauli kama hizi ili akue kisoka nilikuwa naangalia goli za solskjaer ktk umaliziaji wake ni hatar sanabingo, ni ngumu sana kuamini ya kwamba ole gunnar solskjaer ana wiki mbili tokea ajiunge na klabu kama kocha wa muda, maneno yake anayoyazungumza yanakufanya uamini ya kwamba jamaa amekaa na wachezaji kwa zaidi ya msimu mmoja kumbe ni tofauti.
hivi ni nani asiyefahamu ya kwamba rashford anasumbuliwa na wahaka pindi anapokuwa eneo la adui?
jibu ni moja tu jose mourinho ndio maana hajawahi kusikika akitamka maneno kama aliyotamka mungu mwenye sura ya kitoto, kubwa utamsikia akisema wachezaji wake wana mambo ya kitoto.
shikamoo ole gunnar.
That what we like from our manager..kuona kasoro na kuzifanyia kazibingo, ni ngumu sana kuamini ya kwamba ole gunnar solskjaer ana wiki mbili tokea ajiunge na klabu kama kocha wa muda, maneno yake anayoyazungumza yanakufanya uamini ya kwamba jamaa amekaa na wachezaji kwa zaidi ya msimu mmoja kumbe ni tofauti.
hivi ni nani asiyefahamu ya kwamba rashford anasumbuliwa na wahaka pindi anapokuwa eneo la adui?
jibu ni moja tu jose mourinho ndio maana hajawahi kusikika akitamka maneno kama aliyotamka mungu mwenye sura ya kitoto, kubwa utamsikia akisema wachezaji wake wana mambo ya kitoto.
shikamoo ole gunnar.
Wachezaji wetu kiasi wamechangamka na kugusa sana mipira hizi timu za chini ilikuwa tuna struggle kupata sare au ushindi wa ngama mwanzo mzuri OG
kama atafanya vizuri hakuna haja ya Pochettino sababu OGS ataanza pale alipoishia Pochettino atakuja kuanza mwanzo ni hayo tuAkiweza kuendeleza hii spirit niliyoona katika hizi game mbili,wampe timu tu kama tukimkosa Pochettino.
Zama za majaribio zimepita mkuuAkiweza kuendeleza hii spirit niliyoona katika hizi game mbili,wampe timu tu kama tukimkosa Pochettino.
Solskjaer on Rashford:View attachment 978781
Ninaangalia marudio ya mechi ya juzi kuna mabadiliko katika ukabaji na pasi azipotei ovyo Kama zamani. Tunaitaji wachezaji kama wawili wenye uwezo wa speed wakati wa dribbling.Kanifurahisha sana hasa finishing za rashford ni mbovu sana hata ukiambiaji wake mourinho kweli alikuwa hatoi maelezo kama haya rashford anahitaji kauli kama hizi ili akue kisoka nilikuwa naangalia goli za solskjaer ktk umaliziaji wake ni hatar sana
Nakubaliana na wewe mkuu"As Sir Matt once said, if you're good enough, you're old enough. We are built in that tradition. We need young players coming through. It's important for the academy and the players to know that you are helping to bring them through!" - Solskjaer on the youth. #MUFCView attachment 979620
Namuona Valencia, "United's worst ever captain''Rom and Alexis are back in training View attachment 980176View attachment 980177
Sent using Jamii Forums mobile app