D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Hayo ni mawazo yako, na ninayaheshimuMkuu ukiona mtu analalamika clean sheet na hata kumponda Paul kuwa useless basi ujue upro mourinho unamsumbua na haamini kuwa mourinho katimuliwa
Chief hapo kwa Fred sijakuelewa kabisa ulikuwa unamaanisha nini hasa?Happy Independence Day
- uhuru kwa andreas perreira kutoka namba 6 hadi namba 11 japokuwa alichezeshwa kwa dakika 7, ni matumaini yangu benchi la ufundi litaendelea kumtumia kama kiungo mshambuliaji.
- uhuru kwa walinzi wetu wa kati angalau jana walifanikiwa kupumzika, unapolinda kwa njia ya kushambulia hata kama beki wako wa kati ni Damushin basi ataonekana hodari kuliko thiago silva wa AC MILAN.
- uhuru kwa benchi la ufundi, inaonekana dhahiri michael carrick na mwenzake mckenna walikuwa hawafurahishwi na kitendo cha jose mourinho kumchezesha andreas perreira kiungo mkabaji, ni ngumu kuamini kama yale mabadiliko aliyafanya solskjaer haliyakuwa mechi za manchester united alikuwa hazifuatilii kwa kiwango cha standard gauge.
- kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kocha wetu akiingia uwanjani kuwapongeza wachezaji wake na kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kocha akiwasifia wachezaji na si kujibebesha sifa yeye kwa asilimia kubwa.
- ngoja nicheke kwanza : kwa mara ya kwanza muheshimiwa radika na timu yake wanazungumza lugha moja na muheshimiwa Daud1990 na timu yake
- nilishazoea kuangalia mechi ya manchester united tukicheza dakika 30 bila ya kupiga shuti goli la wapinzani lakini jana ilikuwa ni tofauti, tumepiga mashuti 17 na mashuti 9 yalilenga goli.
- kuna tofauti kubwa kati ya kumiliki mpira bila ya kufanya chochote na kumiliki mpira huku timu ikionyesha harakati za kutafuta magoli, nyakati za van gaal tulikuwa tunamiliki mpira kuliko AJAX lakini baada ya dakika 90 tunapata suluhu. Jana timu ilimiliki mpira 74% na timu ilionyesha harakati za kutafuta magoli.
- dah! namuonea huruma sana fred, kwa mpira huu wa kugusa mara moja unamfaa sana lakini wapinzani wake nao pia ni wabaya sana, ni matumaini yangu uhuru wa jana utaturudishia rotation kama ilivyokuwa nyakati za fergie
ni mjinga peke yake ndiye atakayekuwa na matumaini ya kwamba tutashinda kila siku, kwangu mimi haiwezekani kwa sababu mpira una matokeo matatu. Tulichokuwa tunakitaka mashabiki wa manchester united chini ya jose mourinho ni mpira wenye kueleweka ambao utatoa uhuru kwa wachezaji kujisikia furaha kufanya kazi walioichagua maishani mwao, na hata kama itatokezea tupo nyuma kwa magoli dhidi ya wapinzani wetu basi ionekane morali ya kutafuta ushindi na si kudhalililishwa na wapinzani wetu kama walivyotufanyia liverpool na manchester city.
wanasema tumewafunga cardiff FC, ok wapo sahihi na tunawashukuru wapinzani kwa kutukumbusha ya kwamba tumeifunga timu iliyo nafasi ya nne kutoka chini na ni matumaini yangu familia ya manchester united haitabweteka na ushindi tulioupata jana bali itakuwa ni chanzo cha kuendeleza wimbi la ushindi dhidi ya huddlesfield town siku ya jumatano.
Kinachonikera ni kwamba jose mourinho ameiacha timu tukiwa nyuma kwa pointi 11 dhidi ya wapinzani wetu watatu ambao wanawania nafasi 4 za juu kama sisi, kama tungeliweza kumfukuza jose mourinho mechi dhidi ya west ham united basi muda huu tungelikuwa tunawania nafasi ya 3, cha ajabu jose mourinho ameondoka na fedha zetu na pia anaelekea kuondoka na nafasi yetu ya 4.
View attachment 975482
wapinzani wetu muda huu baada ya ole gunnar solskjaer kuingizwa dakika za majeruhi, cha ajabu wametupita kwa point nyingi lakini wameanza kuweweseka kama mzee wa ujasiriamali, sijui kwa kiingilishi linatamkwa vipi kiutani.
Kwa upande wangu uko sahihi asilimia zoteSijui kuhusu united fans wengine ila wengi wetu humu tumefurahishwa na aina ya uchezaji wa timu zaidi kuliko idadi ya magoli. Mpira saffi ukisindikizwa na matokeo mwanana,hapo lazima usahau shida zako kwa muda kidogo ufurahie maisha.
Tulitamani kuona uchezaji wa aina hii ambapo wachezaji wanatembea lakini wanauamrisha mpira kutii uelekeo tofauti tofauti nao unatii. We fikiria Jana nimeshuhudia Ashley young anapiga no look pass tena kwa kisigino!
Thanks ogs,you brought the united we once lost!!!!
Ni winner Wa nini sasa manake katuangamiza sana hadi katimuliwa. Kwa sisi ame win kutuangamizaJosé Felix mourinho is the winner. Kama unataka burudani nenda kaangalie WWE
Jana amempa nafasi Matic, I hope umekubaliana na uamuzi wake
Mimi naamini hata Lukaku ni striker mzuri, amedhihirisha hivyo akiwa timu nyingine
Mourinho atapata timu atachukua makombe hata kabla ya Manchester kuchukua kombe lolote.Ni winner Wa nini sasa manake katuangamiza sana hadi katimuliwa. Kwa sisi ame win kutuangamiza
Ball playing defender, makocha wengi wanaopenda mpira wa kushambulia wanawahusudu sana ma ball playing defenders na ball playing goal keepers
Inaonekana dogo amepewa ruhusa ya kupanda kwa kuwa ana uwezo wa kuufanyia mpira jambo kwa maslahi ya timu
Lakini kwa uchezaji huu, clean sheet zitakuwa chache, lakini yote heri cha msingi ushindi
Haina shida Mkuu hata Mimi namtakia heri ila kwa mpira ambao Man U ilikuwa inaucheza kuondoka kwake ni heri sana.Mourinho atapata timu atachukua makombe hata kabla ya Manchester kuchukua kombe lolote.
huu ni msimu wa tatu kipa wa tiko tiko ndo anakuwa kipa mwenye klin shit nyingi kuanzia la liga mpaka ulaya nzima kwa msimu anaondok na klin shit 23+ lakini makombe wanachukua BarcaHayo ni mawazo yako, na ninayaheshimu
Timu zote zinapata mafanikio ya kubeba ndoo, defensively lazima wawe solid
Angalia Leicester iliyochukua kombe 2016
Angalia Manchester City iliyochukua kombe 2017/2018
Angalia Liverpool ya msimu uliopita ilifunga sana lakini ikaruhusu sana kufungwa, na ikaishia kuwa msindikizaji
Angalia Liverpool ya mwaka huu, ina clean sheet zakutosha na angalia ilipo kwenye msimamo wa ligi
Wewe endelea kukariri tu kuwa Mourinho ndio alikuwa anapenda ulinzi imara, kila kocha mwenye kutaka makombe anataka ulinzi imara
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Happy Independence Day
- uhuru kwa andreas perreira kutoka namba 6 hadi namba 11 japokuwa alichezeshwa kwa dakika 7, ni matumaini yangu benchi la ufundi litaendelea kumtumia kama kiungo mshambuliaji.
- uhuru kwa walinzi wetu wa kati angalau jana walifanikiwa kupumzika, unapolinda kwa njia ya kushambulia hata kama beki wako wa kati ni Damushin basi ataonekana hodari kuliko thiago silva wa AC MILAN.
- uhuru kwa benchi la ufundi, inaonekana dhahiri michael carrick na mwenzake mckenna walikuwa hawafurahishwi na kitendo cha jose mourinho kumchezesha andreas perreira kiungo mkabaji, ni ngumu kuamini kama yale mabadiliko aliyafanya solskjaer haliyakuwa mechi za manchester united alikuwa hazifuatilii kwa kiwango cha standard gauge.
- kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kocha wetu akiingia uwanjani kuwapongeza wachezaji wake na kwa mara ya kwanza nimeshuhudia kocha akiwasifia wachezaji na si kujibebesha sifa yeye kwa asilimia kubwa.
- ngoja nicheke kwanza : kwa mara ya kwanza muheshimiwa radika na timu yake wanazungumza lugha moja na muheshimiwa Daud1990 na timu yake
- nilishazoea kuangalia mechi ya manchester united tukicheza dakika 30 bila ya kupiga shuti goli la wapinzani lakini jana ilikuwa ni tofauti, tumepiga mashuti 17 na mashuti 9 yalilenga goli.
- kuna tofauti kubwa kati ya kumiliki mpira bila ya kufanya chochote na kumiliki mpira huku timu ikionyesha harakati za kutafuta magoli, nyakati za van gaal tulikuwa tunamiliki mpira kuliko AJAX lakini baada ya dakika 90 tunapata suluhu. Jana timu ilimiliki mpira 74% na timu ilionyesha harakati za kutafuta magoli.
- dah! namuonea huruma sana fred, kwa mpira huu wa kugusa mara moja unamfaa sana lakini wapinzani wake nao pia ni wabaya sana, ni matumaini yangu uhuru wa jana utaturudishia rotation kama ilivyokuwa nyakati za fergie
ni mjinga peke yake ndiye atakayekuwa na matumaini ya kwamba tutashinda kila siku, kwangu mimi haiwezekani kwa sababu mpira una matokeo matatu. Tulichokuwa tunakitaka mashabiki wa manchester united chini ya jose mourinho ni mpira wenye kueleweka ambao utatoa uhuru kwa wachezaji kujisikia furaha kufanya kazi walioichagua maishani mwao, na hata kama itatokezea tupo nyuma kwa magoli dhidi ya wapinzani wetu basi ionekane morali ya kutafuta ushindi na si kudhalililishwa na wapinzani wetu kama walivyotufanyia liverpool na manchester city.
wanasema tumewafunga cardiff FC, ok wapo sahihi na tunawashukuru wapinzani kwa kutukumbusha ya kwamba tumeifunga timu iliyo nafasi ya nne kutoka chini na ni matumaini yangu familia ya manchester united haitabweteka na ushindi tulioupata jana bali itakuwa ni chanzo cha kuendeleza wimbi la ushindi dhidi ya huddlesfield town siku ya jumatano.
Kinachonikera ni kwamba jose mourinho ameiacha timu tukiwa nyuma kwa pointi 11 dhidi ya wapinzani wetu watatu ambao wanawania nafasi 4 za juu kama sisi, kama tungeliweza kumfukuza jose mourinho mechi dhidi ya west ham united basi muda huu tungelikuwa tunawania nafasi ya 3, cha ajabu jose mourinho ameondoka na fedha zetu na pia anaelekea kuondoka na nafasi yetu ya 4.
View attachment 975482
wapinzani wetu muda huu baada ya ole gunnar solskjaer kuingizwa dakika za majeruhi, cha ajabu wametupita kwa point nyingi lakini wameanza kuweweseka kama mzee wa ujasiriamali, sijui kwa kiingilishi linatamkwa vipi kiutani.
His main point is DOF must be someone know the club, we waste 5 years due to incompetence of Ed Woodward and we have many former players who can do that job ( Van der Sar is doing good job at Ajax)Ama kweli raha jipe mwenyewe!
Hii weekend ni furaha tupu, yani ni kama mtu aliyepona nguvu za kiume[emoji23][emoji23]
Man U 5 na 2 Dortmund under Mourinho's coaching, download afu ole wako usijitekenye afu nisikukute hapa Jamii Forum kumbe umebadili tu ID ya kale na kutumia nyingine mpya.Nitajie mechi ambayo Mourinho aliongoza team kushinda magoli matano.
Ukinitajia hiyo mechi naihama Manchester nakuwa shabiki mnazi wa Burnley
Inaonesha ni jinsi gani tabia za kishoga zilivyo kuathiri. Sidhani kama una rinda hata moja.Inaonekana mchicha mwiba wewe sio?
Inaonesha ni jinsi gani tabia za kishoga zilivyo kuathiri. Sidhani kama una rinda hata moja.
Kwa bahati mbaya sili mashoga.Sawa sister