Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi hawa ma interim coaches hata wakichukua ubingwa huwa hawapewi timu kwa sababu gani?
mbona mifano ipo ya makocha waliopewa mikataba ya kuendelea kufanya kazi.
  1. roberto di matteo = chelsea
  2. zinedine zidane = real madrid
  3. solano = real madrid.
  4. ole gunnar solakjaer = man utd hata kama asipopata nafasi ya 4.
 
Smalling akiwa Mkuu na de gea msaidizi siyo mbaya. Shida ya De gea na Valencia naona siyo waongeaji ni wapole sana
Smalling wa nini,asepe aje kitasa wa maaana...ten years and never get better...kapiga na Vidic ,Rio, Pique,Evans,Brown,.. national Team kapiga na kina Terry nk bado tu hadi leo haja improve ata peak lini sasa?
 
Kubadilishwa mwl aliyekosa matokeo mazuri huwa kunabadilisha saikolojia na morali ya wachezaji. Bila hata kocha wanaweza kuonekana wameimprove in short term but in long term, things may turn as usual. Kwa hiyo hutegemea analysis ya wataalam kuona km kocha anaweza kuwa na consistency in longterm
 
huyu Di MAteo alichukua UEFA na bado akafungashwa virago, why?

Fatilia vizuri, Di Matteo alipewa timu as interim around Feb/March 2012, msimu ukaisha akiwa amechukua FA na UCL, June akasign mkataba wa kuwa kocha rasmi, msimu ulipoanza wa 2012/2013 ndo alifukuzwa Nov 2012 baada ya kutolewa makundi ya UEFA, timu akapewa Benitez.
 
Mimi Ni mmoja ambaye Nimeumia Sana Kufukuzwa Mourinho! Musinishangae ila Kumbukeni kuwa "Adui Muombee Njaa"..

Na Njaa kubwa niliyokuwa nikiwaombea nikuwa Mourinho aogezewe Mkataba ili muzidi kupata Maumivu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa Upande Wa Wa Pili Nimefurahi Sana Kuteuliwa Mshabiki Nguli, Mshabiki lialia, Mshabiki Kindakindaki, Mshabiki Mkereketwa, Mshabiki Halisi Wa LIVERPOOL FC kamanda Ole Gunnar Solskjaer Kuwa Manager Wa Man United.

OGS Ni Boyhood Fan Wa Liverpool
 
Ushabiki wake hauwezi uka-override personal ambitions. Anajenga CV yake, anatafuta ugali wa familia.
 
Niliwahi kuandika humu lile genge la Mourinho ni la kufunguliwa mashitaka kabisa. Wote waliokuwa wanamsupport Mou kuna agenda ovu nyuma yake.


Hahaha naona wanaanza kujitokeza kwa kukiri hadharani agenda zao ovu.


Pole Sana mkuu. Kawekeni kambi Chelsea hali si hali huko London.

GGMU
 

Chelsea, Arsenal, Liverpool na Baadhi ya Washabiki Wa Man United (Pro-Mourinho) tulishirikiana kueka Kambi hapa.

Sasa Ni Muda Wa Kushirikiana kivyengine kuhamishia Maturubali Darajani kule London kwa Mr. Masigara.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kumbe jana umepigwa na Leicester ndio maana inaonekana una hasira sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…