Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi Man u mna shida gani lakini, mbona wepesi wa kusahau... Mara hii mshajiona bora
Hahaaa angalia mfululizo wa mawazo nilimjibu mtu hapo.Kwenye soka lolote laweza tokea,Mechi bado ni nyingi.
Man utd sio club ya kubeza
 

Hapo nimecheka sana! Kwani hata Mimi Kazini kwangu naandaa ripoti/taarifa ya Activity, halafu Mwisho Naandika jina la Mkurugenzi Mtendaji na Anaisaini yeye na kugonga Muhuri wake, Baadae anaipeleka Kwa RAS au TAMISEMI kuwa yeye ndiye aliyeiandaa. 😀😀
 
Raha juu ya raha,huwezi kuamini team ile ile wachezaji wale wale mpira tofauti kabisa.
Jose anastahili kupelekwa ICC😂😂😂
Nilikuwa nawashangaa sana watu wanaolalama José hajapewa anachotaka,ooh mara wachezaji wetu ni wakawaida sana,wakati nikiangalia naona vipaji tupu. Ukilinganisha timu iliyopo sasa na ile aliyotwaa nayo ubingwa babu kwa mara ya mwisho unaona hii ndio ina mafundi.
 
Willian mwenyewe kwa sasa anarukuruka tu huko chelsea..Akili za mourinho bana..eti anamtaka Maguire,Perisic ili awafunge westham!!...awfull manager
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…