Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Acha kuongea sana basi Mkuu maana hii mipira mnaweza kuongea kwa lugha tofauti mwanzoni afu baadye mkaja kuongea kwa lugha 1 mambo yakija kubadilika mbeleni.
Mistake of fact lakini alichezeaga Man City ukweli Pogba sharobaro ni lizito japo lina ufundi wa kutosha.Acha kuja kutuvurugia sherehe. Endelea kupiga ramli na hasira zako za kuchaniwa mkeka Leo . Maana ulijia hizi ni enzi za Mmakonde mwenzenu mkawa mnajichinjia tu kwa Muhindi.
NB: Manchester United ninayoijua haijawahi kuwa Beki mzito anaeitwa Mangala. Itakuwa ni Manchester ya huko Kwenu Ileje au ushirombo.
MOU Out.
Hii mechi amini nakwambia angekuwa yule Askari wa Jkt (Mou ) tungekuwa tunapumulia machine.
Unaangalia mechi au uko Live Score.Mistake of fact lakini alichezeaga Man City ukweli Pogba sharobaro ni lizito japo lina ufundi wa kutosha.
Mbwembwe tu lakini Pogba ni mzito kama yule beki wa zamani Mangala wa Manchester United, muda ni rafiki na mwalimu tosha.
.
Hapa nakuunga mkono
Hii mechi amini nakwambia angekuwa yule Askari wa Jkt (Mou ) tungekuwa tunapumulia machine.
Duh,,ha ha haNatamani kesho tucheze tena.
Mkuu acha kabisa stress za kuchaniwa mkeka ambao ulikuwa umeweka 500 na possible win ikaja 20,000,000 ... Haamini anachokiona kwenye live score . Lingard emezidi kuzamisha meli ya matumaini yake.Huyu Mangala, ndio namsikia leo kuwa alishawahi kuwa mchezaji wa Manutd!
Safi sanaMan United.
4 Shoots on target (3 goals)
Mtani Unaona vyombo..Hapa nakuunga mkono
Balaa mtani kwa mara ya kwanza nakiri kumuona victor lendelof wa benficaMtani Unaona vyombo..
Ebu ongea kimpira basi, unaanzaje kumkubali Mtu kwa mechi 1 pekee?Unaangalia mechi au uko Live Score.
Tuanzie hapo kwanza.
Ishara si mbaya hajastrugle kupata matokeo binafsi hata mm nimekubaliEbu ongea kimpira basi, unaanzaje kumkubali Mtu kwa mechi 1 pekee?
Au nawe ni sawa na wale washabiki wa Man City walioanza kushabikia mpira juzi juzi hapa?
Mpeni Kocha mechi hata 5 hivi ndipo itakuwa rahisi kumtathmini mwenendo wake, vinginevyo mtakuja tena hapa kulialia kama kawaida yenu na Mwantesa United
Vitu vingine havihitaji utafiti saana kuvielewa,Siku njema huonekana asubuhi tuEbu ongea kimpira basi, unaanzaje kumkubali Mtu kwa mechi 1 pekee?
Au nawe ni sawa na wale washabiki wa Man City walioanza kushabikia mpira juzi juzi hapa?
Mpeni Kocha mechi hata 5 hivi ndipo itakuwa rahisi kumtathmini mwenendo wake, vinginevyo mtakuja tena hapa kulialia kama kawaida yenu na Mwantesa United
Wapi nimemtaja OGS ??? Wapi nimemtaja kocha wetu Mpya ???Ebu ongea kimpira basi, unaanzaje kumkubali Mtu kwa mechi 1 pekee?