Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbwembwe tu lakini Pogba ni mzito kama yule beki wa zamani Mangala wa Manchester United, muda ni rafiki na mwalimu tosha.

Ngoja tuone katika mechi 5 zijazo atafanya nini hasa huyo Pogba sharobaro.
Acha kuja kutuvurugia sherehe. Endelea kupiga ramli na hasira zako za kuchaniwa mkeka Leo . Maana ulijia hizi ni enzi za Mmakonde mwenzenu mkawa mnajichinjia tu kwa Muhindi.



NB: Manchester United ninayoijua haijawahi kuwa Beki mzito anaeitwa Mangala. Itakuwa ni Manchester ya huko Kwenu Ileje au ushirombo.
 
Acha kuongea sana basi Mkuu maana hii mipira mnaweza kuongea kwa lugha tofauti mwanzoni afu baadye mkaja kuongea kwa lugha 1 mambo yakija kubadilika mbeleni.
Cardiff pass 100+ Man U pass 380+.

Ili uwe na uhakika wa mechi lazima uwe na uhakika wa kuwa na mpira kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…