Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angekuwa yule mmakonde wa kireno baada ya goli la kwanza angekuwa ameshafanya sub ya Felain na Beki moja.


Hahahahaha aliyemroga Mourinho apewe adhabu Kali mno iwe fundisho kwa walogaji wote
Nimefurahi jamaa limeondoka. Timu itakuwa na matumaini sasa, dirisha dogo tukitafuta wachezaji kadhaa wa kuziba penye mapungufu uhakika wa top 4 upo.
 
Mechi kama hii Mourinho na washabiki wake walikuwa wskitwambia eti hajapewa Wachezaji anaowataka!!!

Sasa OGS yeye ameshapewa wachezaji anaowataka?
Mkuu huwa nakuheshimu sana kwa kila herufi unayotupia humu na kwenye Jamvi la Majogoo.



Kusema ukweli ukiondoa maadui watatu ninaowachukia yaani Ujinga,Umasikini na Njaa. Anaefuatia kwa karibu kabisa ni JOSE MOURINHO. Kama angekuwa kwenye mifumo ya kiserikali kwa uasi alioufanya Pale Greater Manchester angekuwa ameshasukumwa Kule Swiss kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binaadam yaani (ICC).
 
Picha ya Mourinho iondolewe.
 
Wale mashabiki wa morinho wanatamani timu ifungwe wapate kuchamba hahahaha, chungulieni ivo ivo leo tunaua mtu
Ndicho alichofanikiwa Mou, ameigawa team.


Mimi siwalaumu hawa Pro Mourinho ila namlaumu sana na sitakuja kumsahau huyu Mourinho kwa kitendo cha kuigawa team kwa upuuzi wake. Ona sasa tuko timu moja ila Kuna members humu hawako comfortable kujimwaga humu kwa kupotoshwa na Huyo mgalatia kutoka mabonde ya ureno.



Jamani shusheni silaha chini sisi sote ni team moja hivi sasa, acheni kuandamana na Nduli Mou. Tokeni msituni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…