Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wala hakuna contradiction hapo. Hakuna anayetaka Pogba asicheze Bali ninachokisema mimi pamoja na watu wote walio timamu ni kwamba tunataka pogba ajitume kama wachezaji wengine. Ndicho hata carrick alichozungumzia kuhusu wachezaji kuwa na thamani ya kuchezea Man U. Simchukii pogba ndio maana hata kuna mdau humu aliuliza kwamba ungekuwa ni kocha Wa Man U sasa hivi ungepangaje kikosi? Ktk list ya kikosi nloweka mimi pogba alikuwepo. Ishu ni moja tu ajitume asipojituma awekwe benchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…