Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,512
Mkuu kwa team yenye hadhi kama united haipaswi kuwa na uvumilivu kwenye masuala ya kipuuzi. Mou ingebidi afukuzwe kabla ya msimu huu kuanza .Halafu kuna hawa wengine wanasema José apewe anachotaka😀 si alitaka CB's akapewa Lindelof na Bailly? Kashindwa kuwatumia.
Kanunua Fred ameshindwa kumtumia,Pogba hivyo pia.
Sijui wanataka apewe nini?
Kitu ambacho wanashindwa kunfukuza mourunho ni vile ambavyo alikuwa wazi ni kipi anataka ili kuboresha timu alihitaji watu wa nne mbele alisema hana shida
Bodi inaumia sana wanatamani kumfukuza lakini mkononi wana majina ya watu chaguo la kwanza aliwahitaji
Binafsi sioni kama kumfukuza mourinho kunaweza kubadili sura na uchezaj maana city na liverpool tayar washakimbia unamfukuza kocha ili iweje?
Tujipange msimu ujao kama watampa pesa au wamfukuze juu yao
Waharibifu wa timu ni uongozi mzima wa unuted maana wameshindwa kujua timu inashuda gani toka babu astaafu hamna natural bek 2 na 3 wa maana hata kama wanataoa hela na wao hawaoni timu ikicheza?
BREAKING: manchesterunited have sacked Jose Mourinho.To be honest, simwoni Mourinho akiweza kukimbizana na hii kasi ya Guardiola.
Kwa sababu ninachokiaona mpaka sasa ni mvutano kati yake na utawala na wachezaji, ingeweza kuwa rahisi kama hawa wachezaji alionao wako kwenye good terms, i.e hata kama matokeo yanakuwa siyo mazuri basi yawe matokeo yao wote, wawe wamoja, hapo hoja ya kuziba mapengo kwa wachezaji hao 4 ingelipa, ila kwa sasa unaanza kujiuliza hao wa 4 wataziba nafasi zipi? Maana kiuhalisia nafasi kama ya Pogba, Lukaku, Sanchez na Fred (3 kati ya hizo) zinahitaji replacement.
Baada ya napo ndo uje kuangalia hayo mahitaji ya wachezaji 4 ambayo yalikuwa identified kabla ya msimu ambapo kina Pogba walikuwa bado wako kwenye track sahihi.
Mimi ninaona, the right way ni Mou kuondoka, aje kocha anayeweza kurudisha unity kwenye locker rooms, na awe mwenye vision na philosophy hitajika ya timu, huyu kama ndo apewe muda wa kusuka timu, kwa uwezo wa kifedha wa Man Utd na influence ya timu ni rahisi kuirudisha juu, ila unity ni mamba one priority.
Manchester United says manager Jose Mourinho has left the club with "immediate effect"jose mourinho out.
klopp ndiye ndiye dawa ya jose mourinho.
Klopp EffectHere is an odd coincidence:
Mourinho left Real Madrid a month after the 4-1 defeat by Klopp’s Borussia Dortmund in April 2013.
Two years later Mourinho was sacked at Chelsea a month after the traumatic 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Stamford Bridge during which the travelling fans sang “you’re getting sacked in the morning” and the wheel turned decisively against him.
Mou anaongoza sack race. I hope LFC kesho tuta inflict more damage.
Kafukuzwa tayarTo be honest, simwoni Mourinho akiweza kukimbizana na hii kasi ya Guardiola.
Kwa sababu ninachokiaona mpaka sasa ni mvutano kati yake na utawala na wachezaji, ingeweza kuwa rahisi kama hawa wachezaji alionao wako kwenye good terms, i.e hata kama matokeo yanakuwa siyo mazuri basi yawe matokeo yao wote, wawe wamoja, hapo hoja ya kuziba mapengo kwa wachezaji hao 4 ingelipa, ila kwa sasa unaanza kujiuliza hao wa 4 wataziba nafasi zipi? Maana kiuhalisia nafasi kama ya Pogba, Lukaku, Sanchez na Fred (3 kati ya hizo) zinahitaji replacement.
Baada ya napo ndo uje kuangalia hayo mahitaji ya wachezaji 4 ambayo yalikuwa identified kabla ya msimu ambapo kina Pogba walikuwa bado wako kwenye track sahihi.
Mimi ninaona, the right way ni Mou kuondoka, aje kocha anayeweza kurudisha unity kwenye locker rooms, na awe mwenye vision na philosophy hitajika ya timu, huyu kama ndo apewe muda wa kusuka timu, kwa uwezo wa kifedha wa Man Utd na influence ya timu ni rahisi kuirudisha juu, ila unity ni mamba one priority.
Hao ujerumani ,Brazil,Argentina hakuna anauetoa sauti kwa Belgium tena lukaku ndio mfungajiAngalia main strikers Wa Belgium ni kina nani halafu ndio utajua jamaa pale front yeye bado ni mfalme. Halafu bado narudi pale pale demand ya matokeo ya Belgium huwezi fananisha na ujerumani,Brazil,Argentina hata na uingereza wenyewe. Huko ukizingua wanakuzingua. Sasa Belgium hata akizingua nani Wa kumtisha aliyepo benchi?
Nafikir wamchukue zizou au wa spurs kama watawezaHaya sasaaaa
...
Kafukuzwa tayar