Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na ile ndo wanaita bahati kwenye mpira. Kwa sababu ukiangalia tena ile mechi utaona kuna magoli ya wazi kabisa washambuliaji Wa Bayern walibaki na kipa wakawa wanakosa,hyo siyo sababu ya kina terry kuweza kuzuia dk 90. Kumbuka dk kama ya 80+ Bayern wakapata na penati roben akakosa.
 
Hapo kwa giggs dhidi ya lukaku nimecheka sana. Duuu ila watu wamechafukwa wanaropoka tu sahzi
 
Kwa taarifa zilizopo hawana mpango wa kumfuta kazi bodi itawajibika kumpatia pesa zaidi wataanza mwez wa kwanza na dirisha kubwa
Doh! Haya sisi tuendelee tu kuiunga mkono timu muda ukifika basi tutapata faraja
 
*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*
 
*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*
aahhaahhaaa! Nacheka nikiwa naumia sana.
 
Naskia atafukuzwa mwezi wa 4 au wa 3 mwishoni pale timu itakapoonekana haiwezi kufuzu UEFA.

Kama watangulizi wake walivyofanyiwa,Moyes na Van gal.

..........................................................

Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi,tungeleta kocha mpya mapema anaweza kuturudisha big 4,mechi bado nyingi.

Huyu mbwa Mourinho hana jipya pale .....

Wachezaji wake Smalling,Matic,Lukaku na Fellaini.
 
Mou anapenda wachezaji warefu hiyo haina shida,ila jinsi anavyowatumia ndipo ninaona kuwa jamaa hana jipya pale OT. Tuendelee kusubiri bahati yetu msimu mwingine,huu ushaisha.
 
Akiwa Belgium ni team ndogo? mbona ndio top scorer wa team ya taifa
 
*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*
hatari sana
 
Tatizo wakimfukuza sahzi mkataba unataka alipwe £24 mil. Na akishindwa kuingia top 4 man u wakimfukuza watatakiwa wampe £18 mil. Kwa hyo nadhani wanazitolea macho hizo paundi mil. 6
 
Akiwa Belgium ni team ndogo? mbona ndio top scorer wa team ya taifa
Angalia main strikers Wa Belgium ni kina nani halafu ndio utajua jamaa pale front yeye bado ni mfalme. Halafu bado narudi pale pale demand ya matokeo ya Belgium huwezi fananisha na ujerumani,Brazil,Argentina hata na uingereza wenyewe. Huko ukizingua wanakuzingua. Sasa Belgium hata akizingua nani Wa kumtisha aliyepo benchi?
 
Ka sasa huwezi kupata kocha mpya wa kuipeleka United mbele, labda uwe unataka kubadili tu sura ya kocha ambapo baadae utataka naye afukuzwe (Nadhani utakubaliana na mimi muda wa majaribio ya makocha umekwisha sasa)

Pia Jose akifukuzwa sasa hivi itabidi alipwe full package ya fidia kwakuwa ameiambia bodi bado anauwezo wa kuingia top four (minimum requirement ya Glazers) mpaka msimu unapoelekea kuisha. Kwa hiyo United wataweza kumfukuza Jose pindi itakapokuwa dhahiri kwamba hawawezi kuingia top four.

Solution iliyopo endapo Jose atafukuzwa na kuweka kocha ambaye atakuwa Caretaker wa timu, mtu kama Carrick na MC Kena ambao tayari wapo kama makocha wasaidizi (Je hao vijana wapo tayari, Kumbuka Carrick hana uzoefu wowote, na MC Kena alikuwa na watoto wa under 18)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…