Kumekuwa na watu waliamini kuwa pogba ndio man utd na man utd ndio pogba.
Hizi mechi mbili zimedhihirisha tofauti kabisa na inawezekana kweli jamaa ni kirusi kwa mujibu wa mou.
Pogba na Sanchez ni aina ya wachezaji wanaojiskia sana,yani wanajiona wakubwa kuliko timu,Sanchez amesumbua sana pale Arsenal. Niliona sehemu Walcott akimsema kuhusu tabia yake ya kujiona
Pogba na Sanchez ni aina ya wachezaji wanaojiskia sana,yani wanajiona wakubwa kuliko timu,Sanchez amesumbua sana pale Arsenal. Niliona sehemu Walcott akimsema kuhusu tabia yake ya kujiona
MOURINHO IN. Destroying the mighty Fulham shouldn't be taken lightly. It shows what Manchester United under Mourinho can do even when their back is against the wall.