Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usimlinganishe Gardiola na huyo mzee..wala usitake kulinganisha makombe aliyobeba morinho na aliyobeba gadiola..!! Mornho hajabeba EPL..na haonekani km atafikia top4 msimu huu..
Kwani Pep kabeba Europa?
 
jamaa amesema Fred atacheza tukijiimarisha kwenye defence na kuwa strong.....je endapo tukikosa beki wa kusajili Fred hatapata nafasi kabisa au? Viteteo vingine ni uboga Kweli awafundushe kupossess mpira asitegemee world class players watuokoe
 
Mourihno anafurahisha sana..
Hivi tatizo hasa la United ni Defense/Kiungo/Ushambuliaji Au Timu nzima?
 
Upuuzi sasa huu..too defensive.

Tukubaliane Pep Guardiola ni mwalimu wa mpira aisee..Huyu mourinho ameshamaliza muda wake

Sasa tusipopata mabeki wakali Fred ndo hatocheza tena??
 
Kweli mkuu huwezi ukatoa sababu Kama hiyo kwa mchezaji akienunuliea paun mil 50 ni ujinga
Upuuzi sasa huu..too defensive.

Tukubaliane Pep Guardiola ni mwalimu wa mpira aisee..Huyu mourinho ameshamaliza muda wake

Sasa tusipopata mabeki wakali Fred ndo hatocheza tena??
 
Mourihno anafurahisha sana..
Hivi tatizo hasa la United ni Defense/Kiungo/Ushambuliaji Au Timu nzima?
Timu siyo mbaya kivile, jamaa anatafuta tu sbabu. Mentality ya kocha inapaswa kuchange. So mpenzi sana wa possession bali attacking footbal japo ni kweli kucheza attacking football unapaswa kuwa defensively well organized.
 
Tena anaongelea investment ili ionekane timu inahitaji kununua Kama psg.....angekuwa anajielewa angenunua wachezaji wazuri sana kwa bei ndogo akawachanganya na accademy players

Game hii man ndo mwenye uwezo wa kuitandika man city tena siyo goli moja nyingi za kutosha.
Tatizo kuu lililopo man United kila mchezaji pale anajiona ni bora kuliko timu.

Kila mchezaji anashangilia jinsi alivyosajiliwa lakn uwezo wake uwanjani ni ovyo.

Timu ina nyota lakini siyo combined team.

Morinyo anachangia kuiua timu kwa kukosa weledi wa wachezaji kuwajenga.
Namuona tena akifungwa.
 
Tena anaongelea investment ili ionekane timu inahitaji kununua Kama psg.....angekuwa anajielewa angenunua wachezaji wazuri sana kwa bei ndogo akawachanganya na accademy players
Mkuu kununua wachezaji wazuri kwa mpunga mdogo huwezi kumlaumu Jose, hiyo ni kazi ya Scouting team. United ni kati ya timu chache zenye scout network kubwa Ulaya (50+ scouts) lakini wanakula tu bata kwenye vituo vyao vya kazi hawafanyi kazi. Na hawa ni moja kati ya entity za United ambazo Jose hayupo happy nazo.

Kuhusu kuwatumia wachezaji kutoka accademy naunga mkono hoja 100%. Anapaswa kuwatimia academy graduates kama Pereira na academy waliopo sasa
 
jamaa amesema Fred atacheza tukijiimarisha kwenye defence na kuwa strong.....je endapo tukikosa beki wa kusajili Fred hatapata nafasi kabisa au? Viteteo vingine ni uboga Kweli awafundushe kupossess mpira asitegemee world class players watuokoe
LIVERPOOL FC
kocha: jose mourinho

  1. mignolet
  2. alexander arnold
  3. robertson
  4. joel matip
  5. dejan lovren
  6. james milner
  7. henderson
  8. divorg origi
  9. daniel sturridge
  10. adam lallana
  11. albert moreno
  12. dominic solanke
  13. markovic
  14. chamberlain
  15. xherdan shaqiri

Arsenal fc
kocha: jose mourinho

  1. peter cech
  2. lichsteiner
  3. nacho monreal
  4. mohammed elneny
  5. koscielny
  6. sokratis
  7. holding
  8. mustafi
  9. welbeck
  10. kolasinac
  11. iwobi
  12. jenkinson
mwenye namba za yule mchungaji aliyemtoa amber rutty atuwekee tafadhali tunahitaji kuanzisha kampeni ya kumtoa gerezani sheikh jose mourinho, naamini yule mchungaji atatusaidia kwa sababu anaonekana ni mwerevu sana na hana ubaguzi wa aina yoyote.

pia aliye karibu na jose mourinho amnunulie kioo apate kujitazama, pia amwambie sio nywele nyeupe pekee tu zilizopo kichwani mwake bali hata sura yake ya mvuto iliomvutia ed woodward imeshaanza kuzeeka na hata kama itatokezea atafanya upasuaji kama wanawake wa kiafrika na kupenda kwao maumbile makubwa mvuto wake wa mwanzoni utachelewa kurudi.

niliwahi kuuliza humu ndani kwa nini tulimsajili fred?
inaonekana ed woodward na jose mourinho hawana muda wa kuchat pamoja hata kwa kutumiana ujumbe wa tafadhali nipigie kwenye simu zao.
  1. inaonekana jose mourinho amefikia nyakati hajui hata hitaji lake ni lipi na kama mourinho anafahamu mahitaji yake ya muhimu kwa nini alikimbilia usajili wa kiungo na si usajili wa mlinzi wa kati kama anavyolia kila siku na kwa nini alikimbilia usajili wa sanchez wakati ambao rashford na martial walikuwa wanacheza vizuri mwanzoni mwa msimu?
  2. je ed woodward alimuingiza choo cha kike jose mourinho kwa kumuahidi kuwa atamtimizia mahitaji yote au ni yeye mwenyewe mourinho alijiingiza choo cha kike kwa kuwa pengine alishapewa taarifa ya kwamba bajeti ya usajili haitazidi paundi millioni 80 ?
  3. tafadhali ed woodward na wewe huko uliko kama huna mpango wa kumuondoa mzee huyu madarakani basi mtimizie mahitaji yake ili kelele zake zimalizike na akose cha kujitetea pindi anapofanya vibaya.
wapenzi wa fred naomba muwe wavumilivu kwa sababu serikali yetu tukufu ndio inatafuta pesa za kumnunua ndugu yake terry,au vidic,au ferdinand na au ndugu yake carvalho ricardo ili waje wamuezeshe fred apate nafasi ya kucheza.

sipati picha kama mourinho angelikuwa na wachezaji kama niliowataja hapo juu kupitia timu mbili zilizopo juu yetu muda huu.
 
Jamaa anakuambia "Timu nyingine zina potential kuliko sisi"

Mourihno ni mtu mflani mjivuni sana,na miaka hii ya karibuni amepewa za uso amebaki kujigamba tu na mafanikio yake ya "kuunga unga" ya zamani..

Kazi kuongelea investment za timu nyingine na kukorofishana na wachezaji tu

Jamaa ameshindwa kutengeneza timu ambayo itacheza kama anavyotaka,,sasa hapa simply tunaweza kuconclude kuwa amefeli this time around na ni muda atuachie timu yetu

√De Gea
√Shaw
√Bailly
√Smalling

√Pogba
√Fred
√Pereira
√Mata
√Herrera

√Martial
√Lingard
√Rashford

Wachezaji wote hao kocha anashindwa kutengeneza hata stlyle tu ya kucheza..Tuna kocha kweli??
 
Another day Another record.

●●●Mo Salah with his perfect hat-trick anajiwekea record ya kuwa FASTEST PLAYER IN LIVERPOOL HISTORY kufunga 40goals in EPL kwa few games
katumia only 52 games kufanya ivo

●●●katika historia ya PREMIER LEGUE ni ALAN SHEARER & ANDY COLE ndo wako juu yake kwa kufunga 40goals with 45 games that means Mo salah he is king of new generation
.

FAN FACT

●●●Thiery Hennry ametumia game 73 wakamuita king, Aguero akatumia 70 game wakasema mguu wa dhahabu, Diego Costa akatumia 64 game wakasema analijua sana goal, torres akatumia 60 games wakamuita ElNINO but MO SALAH katumia 52 goal wanamuita ONE SEASON WONDER
hili nalo likawekwe katika kitabu cha maajabu ya dunia GUINESS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…