Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mwisho wa msimu mtashirikiana na manure wenzio kuibeba namba 7
 
Naona unatengeneza hoja kama za kocha wenu Mourihno...Kuongelea una EPL Titles tatu kujibu swali la kwanini Timu inacheza hovyo..unaulizwa swali hili unajibu Past groly...

Hakuna history kwenye soka Bob kuna performance kila siku..now timu bora duniani ni Belgium sio France yenye world cup title..

Msome Sarri hapa;
Sarri: "City are in another category. They're not in our category. We've to play and to fight to be in the top four I think.

Anakubali City sio level ya Chelsea..Mimi ni nani nisiyejua mpira nipinge?

Sijaona akisema City haina CL Title.
 
Inaonekana wewe ni mgumu sana kuelewa, kutokuelewa kwako kuhusu neno current form ndio kulisababisha nikupe mifano ya mafanikio ya kihistoria ambayo nayo huwezi kuyadharau kwenye soka, mfano United haijafanya vizuri sana kwenye post SAF era but its brand is still top than even City, Chelsea na timu nyingine kubwa (sorry sijaitaja Asrsena8 coz haipo kwenye hiyo category) kwa sababu ya history, kwa sababu ya past.

Unasema performance ni kila siku kwenye soka haya niambie leo Arsena8 amecheza na nani? kama ni kila siku. Nikuulize utataja mechi ya Spurs, United na nyingine ambazo hazijachezwa leo

City kuwa another level according to Sarri, upo out of context, unahama mjadala, upo OP, stick kwenye hoja mkuu.

Labda kwenye hoja hiyo hiyo nikusaidie tu, ulitaka Sarri aongelee City kushinda CL wakati mjadala ulikuwa unahusiana na title na top 4 race. Ukitaka aongelee kuhusu City kushinda CL subiri ailizwe kama City is big than United.

Pia uwe unajibu angalau nusu ya hoja na maswali ninayokuuliza badala ya kurukia rukua tu hoja mara Sarri kasema hivi, mara Savage (shabiki kindakindaki wa Arseno8) kafanya hivi. Mbona mimi ninajibu hoja zako zote
 
Natengeneza hoja kama za kocha wangu? wewe je, unatengeneza hoja kama za Sarri au Savage mkuu?
 
Paul Ince: "Ander Herrera might not be the best player on the planet. But he gets United, he gets what it means to play for them and you can see he really wants to win. He has that desire which Lukaku, and particularly Pogba don't seem to understand."
 
herrera....................

huyu jamaa alituvurugia sherehe kweli pale old traford.........huyu alitakiwa awe gunners pale akutane na torrera maana mimi ni muumini wa wachezaji wabishi
 
During his press conference to preview Saturday’s match against Fulham at the Aon Training Complex, the boss was asked how he felt Fred has adapted to life at the club.

“Step by step,” Jose told reporters. “You also have other players at other clubs that needed their time and you have some of them that play even less than what Fred is playing.

“I think Fred [will play more], when the team is defensively stronger and doesn't need in midfield people that are more worried about giving some balance to the team than being involved in creation and attacking dynamics. The day we are stronger defensively, I think the horizons for Fred change completely.”

Fred, who played in our last home victory against Young Boys in the Champions League, will wait to see if he's required when we welcome Claudio Ranieri’s struggling Fulham side to the Theatre of Dreams on Saturday afternoon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…