Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu unayoweza kuifunga ni spurs tu toka wenger aondoke kipi kimebadilika? Kushika nafasi ya 5???
Kweli wewe huna akili kabisa bichwa box hivi Unai huu ndo msimu wa Kwanza na impact yake inaonekana wewe unaongea nini?ilikuwa ngumu sana kwa mrithi wa Wenger kupatikana hasa wa kuja na results kama hizi hakuna aliyetegemea kama Arsenal itakuwa namna hii kabisa tena Mechi 20 hajafungwa na kikubwa zaidi kacheza na Magiant jpili na jtano na ameondoka na points 4 Kati ya 6 Si kitu cha masihara kabisa tena kocha mpya kabisa ambaye hajui chochote kuhusu EPL
 
nimekupata vema ingawa man city huyu mtu hakamitiki anapiga in and out watu ambao sinashaka nao ni hawa loserfoooooooooooool
Mtu kama huyu anapataje namba mbele ya mata ukiwambia mtu anakwambia tungepigwa sasa hapa kazuia nini
 
Mkuu aseno wengi ni kama Wamechanganyikiwa hivi yaani hata sijui wanafurahia nini
Tunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
 
Unapokuja hapa jaribu kutumia lugha nzur njoo na hoja zako ukiniita kichwa box huwezi kubadili msimamo wangu

Hivi kuna kocha kupata mrithi kunakuwa na urahisi umeona jinsi ulivyo wewe sasa kichwa box?

Mourinho msimu wa kwanza kachukua ueropa na culling + ngao ya jamii unasemaje?
 
Tunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
Conte msimu wa kwanza kachukua epl timu aliikuta ya 8 point yako ni ipi?
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahah jamaa kakaba nywele................mimi najiulizaga kwanini chama anachezea simba alafu fellaini anachezea united!!!!!!!!!
maajabu sana haya mkuu spid hana ball contro hamna acha tu
 
David De Gea backs Jose Mourinho and blames Manchester United’s flop players for poor season

Shot-stopper was speaking to BT Sport ahead of his side's crucial clash against Arsenal at Old Trafford
 
Tunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
Only the end will justify the meaning of better manager not Today
 
Kwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.

Mwanzo ulisema united hakutengeneza nafasi, sasa hivi umekuja na hoja ya hawakutengeneza nafasi wazi. Unajikanganya mkuu. Hoja yangu inasimama, United walitengeneza nafasi.

Swali la kizushi, hivi arsenal walitengeneza clear chances kwenye mechi ya jana? maana hata magoli yenyewe yalipatikana kutokana na makosa ya wachezaji wa United na si umahiri wa wachezaji wa arsenal.

Je Martial hakuwa threat going foward? Vipi kuhusu Rashford?

Man Utd kwa hali aliyokuwa nayo (majeruhi na form na kikosi walichokipanga na matazamio mliokuwa nayo arsenal) is a big failure for u Arsenal
 
Conte msimu wa kwanza kachukua epl timu aliikuta ya 8 point yako ni ipi?
Mimi naongelea Arsenal ambayo imekaa na Kocha mmoja miaka 22 siongelei Chelsea ambayo kila baada ya miaka 2 inakuwa na kocha mpya sababu kubwa ni kuwa kocha mfano chelsea anakuta timu bado ina chemistry kali ni vitu vidogo vidogo anaweza akaongezea na timu inarudi kwenye mstari angalia timu yako imekaa na kocha miaka 26 alivyoondoka mpaka leo mnayumbayumba hakuna la maana linaloendelea
 
Acha kuandika pumba wewe
 
Kwa hiyo sarri ana nafasi ya kubeba ubingwa kwa kuwa timu ina chemistry?
 
kwa hiyo wewe hapo huoni tofauti iliyopo mkuu?unavyosema pointi 8 tu kama ndogo vile na unajijua kuwa wababe wako msimu huu ni kina SOTON,BRIGHTON nk hizi game kubwa unakamia tu sasa hivi BOURNAMOUTH kashakushusha upo nafasi ya 8 huko
Kwani ligi imeisha. Wewe hujui kwa hiyo tofauti ya point 8, May kuelekea June unaweza ukawa hiyo nafasi ya 8
 
Point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…