Mizungu wakati mwingine ni mipuuzi kweli kweli...
Cheki inasapoti Ushoga,Usagaji live live na wanapost kwenye instagram account ya timu..wamenichefua sana hawa wapuuzi
View attachment 957267
Wanaboa sana hawa jamaa,, skuizi UNITED kuna watu wa ajabu! Nmeshangaa ule uzi wa mchuichui!!Mizungu wakati mwingine ni mipuuzi kweli kweli...
Cheki inasapoti Ushoga,Usagaji live live na wanapost kwenye instagram account ya timu..wamenichefua sana hawa wapuuzi
View attachment 957267
Hakika haujakoseaUkiona hivyo ujue boss mmoja hapo hana marinda
Mkuu hii ni kampeni Uingereza ama? Maana hata kwenye mechi ya Watford na City hayo marangi yalitawala sana.Mizungu wakati mwingine ni mipuuzi kweli kweli...
Cheki inasapoti Ushoga,Usagaji live live na wanapost kwenye instagram account ya timu..wamenichefua sana hawa wapuuzi
View attachment 957267
Naona unatamba wew tu humu angalia usiwe wa kwanza kukimbiaLeo hii team inayo support upunga itapigwa mno
Mkuu sio United tu, ni kwa timu zoteWanaboa sana hawa jamaa,, skuizi UNITED kuna watu wa ajabu! Nmeshangaa ule uzi wa mchuichui!!
Naona kama tunapoteza Identity kuanzia mchezo, muonekano wa team na spirit ya club.
Sasa rangi za ushoga zinakaaje hapo.? Nini waanataka kutuonyesha hapa.?!
BTW we are reds sio hiyo michuichui bana, waache kutuchangnya na ujinga ujinga tusioujua!!
Mkuu sio United tu, ni kwa timu zote
Ni kama ilivyo week ya kwenda kwa usalama bongo, nadhani na huko kuna week ya haki za mashoga
Naona unatamba wew tu humu angalia usiwe wa kwanza kukimbia
Yaah ni kampeni ya timu zote za uingereza za EPL..sio united tuMkuu hii ni kampeni Uingereza ama? Maana hata kwenye mechi ya Watford na City hayo marangi yalitawala sana.
Lakini pia weekend iliyopita niliona vitambaa vya ma kapteni kwa timu zote ni vya rangi hizo za kishoga. Nimeshindwa kuwaelewa kabisa.
Identity yetu inapotea taratibu tu..hilo halina ubishiAhsante kwa taarifa Bro, vipi Identity ya UNITED.?
Hii ya kwenda kuitafuta siweziMkuu huoni ni aibu zaidi kukimbia kuangalia mechi kuliko aibu unayoweza kuipata baada ya kufungwa
Huyu darmian anapataje namba mbele ya valencia????