Mechi ya pili sasa hii anakosa hiyo penalt sasa inabidi apewe hata nani maana na yeye huwa anapiga vizuri tu
He is the first established home grown striker since Mark HughesDogo mzuri sana ndio maana hata hakufikiria kumtoa mwaka huu inafikia mpaka anamuweka bench Hernandez na Berbatoz it mean mzee amemuamini sana dogo ndio maana, na naamini akiendelea na huu mpira wake atafika mbali sana....
Full Time
Man Utd 3-0 Bolton
Hongereni sana Manure...
Kweli kabisa mkuu Nani ni mpigaji mzuri SAF anatakiwa kuliangalia hili suala.
He is the first established home grown striker since Mark Hughes
Spurs wamevutwa shati. Nice job Wolves.
Asante mzee.
Kumbuka j2 ijayo tupo pale Emirates Stadium.
Full Time
Man Utd 3-0 Bolton
Hongereni sana Manure...
Hao watamaliza top 6 not 4 maana spurs ndio wanazuiliwa na vitimu kama hivi
Hao watamaliza top 6 not 4 maana spurs ndio wanazuiliwa na vitimu kama hivi
........Pamoja na ushindi wetu tusisahau msiba wa da Regia!
Hongera Man U!