Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Swali ni je, hali ikiwa mbaya kisoka, akili itamkaa sawa Ed na wanaomtuma?
 
Dakika hii tunazungumza, hali ya kisoka MUFC ipo shaghala baghala, unajua kwanini akili haijawakaa sawa Ed na Glazers, kwa sababu ya kifedha inazidi kunona.... Sasa kama wewe unashabikia hela kama Woody na Glazers sawa. Ila mimi nashabikia soka tu
 
Sishabikii hela. Ila najua bila hela nisingekuwa na matumaini ya kuimarisha kikosi kwa kuwasajili wachezaji bora na kuajiri kocha bora
 
Wako wapi hao wachezaji bora na kocha bora saiv? Pale pana Bora kocha na bora wachezaji tu! Si kocha sio wachezaji, wote hawafai. timu inahitaji msasa, afu ule msasa mgumu wao sijui unakuwa namba ngapi mafundi wanaujua
 
Lakini kwa kuwa timu ina hela, kuna fursa ya kutafuta watu bora, na kuboresha kikosi. Imagine hela isingekuwepo
 
Kikosi cha Arsenal kinashuka ugenini leo kwenye Uwanja wa Old Trafford kuikabili Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Mchezo huo utapigwa leo Jumatano saa tano usiku mechi hiyo ikionekana kuziweka timu hizo katika vita ya kujiweka vema katika msimamo wa Ligi Kuu England.

Man United ambayo inayonolewa na kocha Jose Mourinho itapewa sapoti zaidi na mashabiki wake kwenye dimba la Old Trafford.

Kwa mara ya mwisho Arsenal iliifunga Manchester United mchezo wa Ligi Kuu England Septemba mwaka 2006.

Arsenal inaingia kwenye mchezo huo ikijiamini kutokana na ujasiri iliopata baada ya kuifunga Tottenham katika mchezo wake uliopita.

Kocha Unai Emery atakuwa uwanjani akihitaji ushindi ili kujihakikishia nafasi ya kuwapo nne bora ambapo zinafukuzana Man City, Liverpool, Chelsea huku Tottenham ikiwa nafasi ya tano na alama 30 sawa na Arsenal.
 
lazima ujue kutofautisha kipindi mourinho alikuwa anamfunga unai emery hivi mourinho alikuwa na kikosi cha aina gani na unai anakikosi cha aina gani nahisi utapata jibu
2-1 full time
 
Mizungu wakati mwingine ni mipuuzi kweli kweli...

Cheki inasapoti Ushoga,Usagaji live live na wanapost kwenye instagram account ya timu..wamenichefua sana hawa wapuuzi
 
View attachment 957267
Tunarudishwa enzi za sodoma na gomora. Hili suala wazungu wamelishikilia sana mkuu na kizazi chetu mapenzi ya jinsia moja itakuwa hali ya kawaida sana ni moja ya aina ya maisha ya kawaida kwa kizazi chetu hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…