Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwache apige fujo huku maana kwenye uz wake yupo jamaa mmoja tu anacomment na kujijibu
Yani uzi kama ule huwa siendi nyuzi zangu mm napenda kutia maguu ni liverpool,chelsea na arsenal
 
Unapoongelea giant unamaalisha Historia? We are not in the history bana. Huyo lyon yupo nafasi ya Pili hapo kwenye ligi yao. Kiufupi mlitesa kipindi chenu na sasa waachie wengine watese. Man u imebaki kuwa historia.
Nyie mmetesa kwenye nini sasa? Kwenye kupiga pasi?
 
Hahaha hatar sana mkuu hawa huwa ndo wale timu ikifanya vibaya wanatafuta timu inayofanya vizur

Na Hata Hawa Rant Boys Wa Chelsea ukiwaangalia Backgrounds zao utakutia Washabiki Waliohama Man Unite na Arsenal mwaka 2005 kwa Kumfuata Mourinho Chelsea baada Ya Kuanzishwa Timu Hiyo mwaka 2004.

Kabla ya 2004 hapakuwa na Mshabiki Wa Chelsea Bongo kwani Chelsea ilikuwa Ni Kina group la Fulham na West Ham kwani Hata Leeds United alikuwa juu kulilo wao.
 
Ukweli mtupu mkuu.
 
Hahaha hatar sana mkuu hawa huwa ndo wale timu ikifanya vibaya wanatafuta timu inayofanya vizur
Sio kweli. Sio kila anakuwa sionupande wako basi hana timu. Wengine sisi tulikuwa wapenzi wa wrestling. Na washabiki wa mpira walikuwa wanatusumbua sana. 2011 nikakosa huduma ya wrestling na nikaakumua kishabikia mpira. Na nikanunua jezi ya city. Ili niwe tofauti na wengine. Kwahiyo tupi kiushabiki bana ila kunawalioingia baada ya timu zao kudorora.
 
Yani uzi kama ule huwa siendi nyuzi zangu mm napenda kutia maguu ni liverpool,chelsea na arsenal
Na mm huwa siendi nyuzi za chelsea nakujaga hapa ninapowafunga kirahisi. Sasa mfano niende kwenye nyuzi za liverpool wakati siwafungi nitaongelea nn kwao? Kumbe na wewe huendi kwenye nyuzi za man city kwasababu huna la kuwaongelea wanakupa kichapo tu. Last season ulikuwa second runner na alukuacha kwa point karibu 20. Utaenda kwenye uzi wake kutafuta nn? Nenda huko kwa liver maana hamkuachana sana na chelsea mliwaacha sana. Any way kubali kataa City kiboko yako tu. Have a good day.
 
Blah blah, sema wewe ulikuwa mshabiki wa timu gani, na ukaisaliti ukahamia kwa hao watoto wa juzi

Haingii akilini, kutoka ushabiki wa Wrestling mpaka ushabiki wa soka, kiufupi hiki kitu (ushabiki) huwa sio mtu overnight tu anaanza kukipenda, ni kitu ambacho mtu anakipenda tangu na tangu

Eti mimi sipendi basketball (mfano) ghafla nianze kufuatilia na kushangili NBA, eti niwe Lakers kindakindaki ..... Sidanganyiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…