Kati ya vitimu sinaga presha navyo ni arsenal huyo torreira atafanya nini?Nawataka hapo hapo kati ,nione watamuweza KIJANA MTUKUTU TOREIRA THE LION
Ww kweli mpira huujui, kukosekana kwa young, means ule upande mtabumba bumba kama leo ,matic kapiga CBHahahahahaha hapa ndo utajua wenda wazimu wa mashabik wa arsenal wakat sisi tunajiuliza lini huyu mzee atasepa kumbe mnamuwaza si ajabu tuliwauzia silvester
Endelea kupiga ramli, wakati unazid kusokomezwa mtaa wa 10Mashabiki wengi wa aseno mnaugonjwa wa akili, kwa unavyofikiri utapata ushindi kabisa kwanza unaanza kufa kesho na Tot then unakufa na timu iliyojifia united
Yaani kwa watu wanaobet mtu anaweza akaweka hata ati ya Nyumba na asiwe na preshaKati ya vitimu sinaga presha navyo ni arsenal huyo torreira atafanya nini?
Hata liver alikuwa anatamba hivo hivo, kilichotokea alipaki bas , huku toreira akiwavuruga ,Kati ya vitimu sinaga presha navyo ni arsenal huyo torreira atafanya nini?
Mkuu Radika .......... Manchester United haiwezi kurudi kwenye ubora wake Kwa kusajili wachezaji wakubwa wa £ 70 ml. £ 90 ml kama anavyotaka Mourinho .....Manchester United kiufundi timu iko hovyo hovyo United inacheza mpira Tactical display za Manager hazionekani .Manchester United hii inahitaji mtu mpya kwenye Technical benchi Enough is enough.Namuonea huruma de gea na mashabiki wanaonunua tiket za msimu mzima bora sisi huku tunaumia ila hela hatuliw
Mkuu Radika .......... Manchester United haiwezi kurudi kwenye ubora wake Kwa kusajili wachezaji wakubwa wa £ 70 ml. £ 90 ml kama anavyotaka Mourinho .....Manchester United kiufundi timu iko hovyo hovyo United inacheza mpira Tactical display za Manager hazionekani .Manchester United hii inahitaji New Manager.
Na mimi nitakuja kuifukua hii siku ya JumatanoHata liver alikuwa anatamba hivo hivo, kilichotokea alipaki bas , huku toreira akiwavuruga ,
Subir jtano ,nitakuja kufukua hii comment,
Mashabiki wengi wa aseno mnaugonjwa wa akili, kwa unavyofikiri utapata ushindi kabisa kwanza unaanza kufa kesho na Tot then unakufa na timu iliyojifia united
Arsenane huwa wanajipumzisha kwa City mkuuChalii mbona hueleweki wewe ni Man city au Aseno ?
Kati ya vitimu sinaga presha navyo ni arsenal huyo torreira atafanya nini?
Mkuu mimi ni man u but Southampton hajapta sare kibahati amedeserve na alikuwa decisive sanaAkili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!
Tofauti ya point kati ya City na Nyumbu ni 16 hapo napo kweli utasema ligi bado yani kwamba na wao wapo kwenye mbio za ubingwaaaaaah