Nimekoma kumtetea Mou, kuanzia Leo naungana na wanaomtaka aondoke. Tena aondoke mapema sana, hatutapata mafanikio chini yake. Wachezaji hawamtaki, hakuna namna.
Nimekoma kumtetea Mou, kuanzia Leo naungana na wanaomtaka aondoke. Tena aondoke mapema sana, hatutapata mafanikio chini yake. Wachezaji hawamtaki, hakuna namna.
Kiukweli sometime na yeye mwenyewe anajisababishia watu wam mind. Angalia kikosi alichopanga, hiyo midfield hivi kuweka Herrera, Pogba na Fred inamshinda nini?
Fellain anafaa kama impact sub na sio kuanza. Pia Matic inabidi apumzishwe yaani kila mechi anachezeshwa yeye