Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou leo akizingua hatutamuelewa utatoaje paun mil 30 mchezaj maxima na anakiwango kizuri alafu unamuweka mchezaji wa kiungo atumike bench...huyu mbwa atuachie timu shenzi kabisa
 
Hahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?

Embu tuendelee kuangaza, tunaweza kupata kinda aliyetolewa na the might Pep
 
Leo bia inashuka vizuri hapa yule "Martial" hayupo, hapa leo tunatembeza moto mkubwa. Alikuwa anatukaba sana yule kijana mvivu mvivu.
 
Hahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?

Embu tuendelee kuangaza, tunaweza kupata kinda aliyetolewa na the might Pep
Kwani Martial hakuwa starter Monaco? Mbona tunashindwa kumuendeleza?
 
Hahahaha, Sane amesajiliwa akiwa starter pale Schalke, hivi Tuchel anaweza kupewa credit za kumtoa kinda Mbape?

Embu tuendelee kuangaza, tunaweza kupata kinda aliyetolewa na the might Pep
Na kikubwa hapa si lazima awaibue yeye ila ana uwezo Wa kuwaamini na kuwafanya wachezaji wachanga wajiamini na waone wana thamani na mwisho wakafanya kile alichokitarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…