Mkuu alimfunga city 1-0 etihad kipindi anapandishwa timu ya wakubwa akaja kumfunga chelsea ile gem anakufa 2-0 old trafordMimi ndiyo maana kuna muda sioni sababu ya kumlaumu mwalimu Huyu rashford one on one hajawahi kufunga
Kwa sasa hivi club inahitaji major surgery tofauti na zama za SAF. Kumbuka SAF ameacha kikosi chenye wachezaji bora lakini wanaozeeka kwa mkupuo na hiyo ni moja kati ya hoja zinazotajwa sana watu wanapoamua kumkosoa SAF.Ofcourse hatoonekana kuwa yupo serious na mpira, with his way of playing unafikiri yupo serious? He is not a guy who gets into a game to win, how can you take this guy as serious? afu aje ampige POGBA kiatu??? Duh!
Mwaka alomnunua Rio Ferdinand , total spending kwenye transfer market ni 32M, alipomnunua Veron na RVN 49.6M, kamnunua rooney for 25M hakununua mwengine (Usajili dirisha kuu). Hatukuweza ku compete na our European Rivals ambao kina Madrid, tumeshindwa kupata wachezaji kutokana na hela ya kununulia ama mshahara wa mchezaji.... Uhuru wa fedha alokuwa anao Fergie sio huu alokuwa nao Mou, Mou ana uhuru mkubwa sana, nasikia na January wana mpango wa kumtengea 100M azidi kupoteza hela mana tunazo nyingi siku izi.
Halafu Kumbuka, kipindi cha Glazers Klabu ilikuwa na deni, huku Glazers akitaka kuchota mahela. SAF na Gill walikuwa wanapita shida, kwa sababu Glazers trusted in Fergie, walijua huyu mtu ata ukimpa mbao achezeshe uwanjani atachukua ubingwa kwaio hawakuona umuhimu wa kurusha hela.
Hao core, kawalea mwenyewe.... Na hii inaonesha kuwa Fergie alikuwa anafanyia kazi resources alizokuwa nazo.Nasisitiza. SAF alitumia hela kwenye usajili, lakini alikiwa na advantage ya kuwa na Class of 1992 (Hawa walikuwa kama CORE YA TIMU) hivyo kuna wakati hakutumia fedha kwenye baadhi ya positions.
Hahahahhh....chilubiii...unakumbuka ulivyotamba mwaka jana??...ukamwagia misifa Mou...sahivi eti aondoke!!!! Hhhhhh...unachekesha kinyama...Hao core, kawalea mwenyewe.... Na hii inaonesha kuwa Fergie alikuwa anafanyia kazi resources alizokuwa nazo.
Mou resources alizokuwa nazo hazitendei haki na aki source nje nazo pia hazifanyishi kazi itakiwavyo. Unaponunua Goal Keeper ushajua kama umenunua mlinda goli kwa mikono, sasa ukimueka beki 2 akatoa penalty utamlaumu?
Mou asepe tu.... Tunahitaji kocha ambae ataipa identity MUFC
Hii ni hoja nyingine sasa, hoja niliyoongelea ni kuhusu namna SAF alivyowezeshwa kibajeti. Hoja hapa ni kwamba SAF bajeti ilikuwa far superior kuliko washindani wake wengi Ulaya na UingerezaHao core, kawalea mwenyewe.... Na hii inaonesha kuwa Fergie alikuwa anafanyia kazi resources alizokuwa nazo.
Mou resources alizokuwa nazo hazitendei haki na aki source nje nazo pia hazifanyishi kazi itakiwavyo. Unaponunua Goal Keeper ushajua kama umenunua mlinda goli kwa mikono, sasa ukimueka beki 2 akatoa penalty utamlaumu?
Mou asepe tu.... Tunahitaji kocha ambae ataipa identity MUFC
AAAAAAA unazingua ankal.... sijamwagia Misifa..... sema nilikuwa namtetea kidogo.... ila saiv hana muelekeo, ana ile 3rd Season syndrome where as club anayo manage lazima alikoroge..... Nakubali nilimtetea kabla, kwa sababu tulitakiwa tumpe muda kama SAF alivosema alipoach madaraka, lau kama ningeona positive changes hadi sasa ningemtetea ila dah!!! jahazi linazama habari hana yeye anawaza treasures zake ataondoka nazo vipi. Nampenda MOU lkn naipenda MUFC zaidi... atuache tu saivHahahahhh....chilubiii...unakumbuka ulivyotamba mwaka jana??...ukamwagia misifa Mou...sahivi eti aondoke!!!! Hhhhhh...unachekesha kinyama...
Ki uhalisia Ferguson kumpiga Beckham ni hasira za kibinadamu tu. Japo Kwa Kuwa yeye ni Ferguson basi inaangaliwa Kwa utofauti.Ofcourse hatoonekana kuwa yupo serious na mpira, with his way of playing unafikiri yupo serious? He is not a guy who gets into a game to win, how can you take this guy as serious? afu aje ampige POGBA kiatu??? Duh!
Mwaka alomnunua Rio Ferdinand , total spending kwenye transfer market ni 32M, alipomnunua Veron na RVN 49.6M, kamnunua rooney for 25M hakununua mwengine (Usajili dirisha kuu). Hatukuweza ku compete na our European Rivals ambao kina Madrid, tumeshindwa kupata wachezaji kutokana na hela ya kununulia ama mshahara wa mchezaji.... Uhuru wa fedha alokuwa anao Fergie sio huu alokuwa nao Mou, Mou ana uhuru mkubwa sana, nasikia na January wana mpango wa kumtengea 100M azidi kupoteza hela mana tunazo nyingi siku izi.
Halafu Kumbuka, kipindi cha Glazers Klabu ilikuwa na deni, huku Glazers akitaka kuchota mahela. SAF na Gill walikuwa wanapita shida, kwa sababu Glazers trusted in Fergie, walijua huyu mtu ata ukimpa mbao achezeshe uwanjani atachukua ubingwa kwaio hawakuona umuhimu wa kurusha hela.
Huu ndio ukweliKi uhalisia Ferguson kumpiga Beckham ni hasira za kibinadamu tu. Japo Kwa Kuwa yeye ni Ferguson basi inaangaliwa Kwa utofauti.
Tukirudi Kwenye bajeti bado napingana na wewe Kuwa Ferguson alikuwa na bajeti ndogo. By that time timu ambayo ilikuwa inaweza kushindana na sisi Kwenye usajili wa hela kubwa duniani alikuwa ni Madrid tu. Kwa maana nyingine tulikuwa tuna uwezo wa Ku spend kuliko timu zote Kwenye Epl. Na ndio maana tuliwanyanyasa ndani. Ila Chelsea na Man cty walipoanza kutumia pesa tuliamza Ku struggle.
Hebu nikupe changamoto nyingine, kama
Bei ya Maguire saizi unaambiwa ni zaidi ya 75, Ferdinand yule Kwa saizi ungempata Kwa sh ngap?
Rooney yule alisajiliwa Kwa 25 na soko la saizi Morata,Lukaku unawapata Kwa zaid ya 70. Rooney yule Kwa saizi angeuzwaje?? Maana yangu ni 25 ile ni ndogo kwa namba lakini ilikuwa ina thamani kuliko pengine 150 ya soko la saizi.
Ndio ni mafanikioHivi wakuu niwaulize swali, mnadhani Ferguson kukaa miaka 20+ na kuchukua ndoo za UEFA mbili ni mafanikio? Kwa maana nyingine ni kwanini tulikuwa tunatisha sana EPL lakini hatuwa hatari nje ya epl?
Ndio ni mafanikio
Kuna ma Meneja wenye heshima zao duniani watakufa na hawatachukua hilo kombe kamwe
Lakini kumbuka mafanikio yake hayatajwi kwa sababu ya UCL tu, yanaangaliwa makombe mengine kama EPL,Kombe la FA na Kombe la Ligi pamoja Club Bingwa Dunia
Lakini pia linaangaliwa suala la kukaa timu moja kwa miaka yote kwa mafanikio (consistence katika mafanikio maana bila consistence angefutwa kazi na asingedumu timu moja hivyo)
SAF might be the greatest manager ever
No mkuu, ni kweli hakuwa mbabe UCL (Madrid ndio amenyanyasa zaidi kwenye hayo mashindano) lakini pia hakuwa mnyongeHuoni kama alikuwa na consistency ndani ya Ligi pekee na Kwenye michuano ya nje Mara nyingi tulikuwa underdogs?
Mimi nadhani ni sahihi kusema yeye ni kocha bora wa muda wote Kwenye EPL ila sio duniani.,(mawazo yangu)
Mafanikio ya Ferguson ni makubwa sana kwenye EPL japo hata EUFA champions league alitamba sana japo hakubeba makombe mengi sana ukilinganisha hata na Zidane tu ila bado aliitawala UEFA kwa kiwango kikubwa sana.No mkuu, ni kweli hakuwa mbabe UCL (Madrid ndio amenyanyasa zaidi kwenye hayo mashindano) lakini pia hakuwa mnyonge
Kwa miaka aliyotumikia Man Utd pale, ametolewa hatua ya makundi mara 3, miaka iliyobaki ameingia 16 bora had I fainali
Pia nikukumbushe tu ameingia nusu fainali UCL mara 7. Mtu kama huyu kusema hakufanikiwa nje ya Uingereza ni kumkosea heshima mkuu
AAAAAAA unazingua ankal.... sijamwagia Misifa..... sema nilikuwa namtetea kidogo.... ila saiv hana muelekeo, ana ile 3rd Season syndrome where as club anayo manage lazima alikoroge..... Nakubali nilimtetea kabla, kwa sababu tulitakiwa tumpe muda kama SAF alivosema alipoach madaraka, lau kama ningeona positive changes hadi sasa ningemtetea ila dah!!! jahazi linazama habari hana yeye anawaza treasures zake ataondoka nazo vipi. Nampenda MOU lkn naipenda MUFC zaidi... atuache tu saiv
Mkuu huoni Kuwa hiyo inaweza Kuwa ni uthibitisho Kuwa alishindwa kushindana na ma giant? (Maana Mara nyingi kuanzia robo fainali ndio Mchele na chuya vinaanza kujitenga)No mkuu, ni kweli hakuwa mbabe UCL (Madrid ndio amenyanyasa zaidi kwenye hayo mashindano) lakini pia hakuwa mnyonge
Kwa miaka aliyotumikia Man Utd pale, ametolewa hatua ya makundi mara 3, miaka iliyobaki ameingia 16 bora had I fainali
Pia nikukumbushe tu ameingia nusu fainali UCL mara 7. Mtu kama huyu kusema hakufanikiwa nje ya Uingereza ni kumkosea heshima mkuu
Mkuu hata hatua ya makundi kuna ma giant, angalia kinachomkuta Liverpool na Monaco sasa hiviMkuu huoni Kuwa hiyo inaweza Kuwa ni uthibitisho Kuwa alishindwa kushindana na ma giant? (Maana Mara nyingi kuanzia robo fainali ndio Mchele na chuya vinaanza kujitenga)
Liverpool miaka 10? Mmesota zaidi ya miaka 24 kila siku maumivu tuHhhhh...vumilieni tu...mbona ss tulivumilia miaka 10...naona mashabiki ndo mnapiga kelele ila bodi ipo kimya na bado inamuamini...nasikia wanataka wampe tena hela asajili dirisha likifika...kwa sasa itabidi mfungwe tu hamna namna...
Nan liva???????????????????????Liverpool miaka 10? Mmesota zaidi ya miaka 24 kila siku maumivu tu