Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,140
acha ushamba kama hujui mpira kalale tuu.. lindelof unamjua au unaropoka?? kwanza mpira wenyewe unaangaliaga???..Kwahiyo lindelof ana umbo dogo?
sanchez,mata na lingaard hawa sio regular starter kwenye kikosi cha mou.
Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..Mourinho “If you feel pressure, stay at home, and when I say home I don’t say stadium home, I say home home and watch on TV. When the people come to support, come on. I don’t feel pressure to play at home.” ........Hapa tuliingia kwenye 18 za wahuni tumepigwa mazima pesa kibao day.....
Hivi kweli kocha unawachezaji below miaka 25 unatoa hayo maneno? Hajui hao madogo wanahitaji mno kupewa mawaida ya confidence na upendo wa kocha..... kama jamaa hataki kubaki united si Adele direct tu kuliko huu ujinga anaobwabwaja
Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..
Jamaa linadiscourage wachezaji na bado anahitaji makubwa kutoka kwao..hovyo huyu jamaa!!..Hatukatai kuwa tunaweza kuwa na mapungufu kama timu at some point lakini Mourinho ndo anaongeza matatizo zaidi
Sack him..hire director of football and a new manager be either Jardim,Eddie howe, or Zidane..
Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...Huwezi kumfananisha SAF na Mourinho, kiuwezo na power aliyokuwanayo juu bodi
Sure..mpira sio kuwa na wachezaji wa viwango binafsi vya juu tu,inahitaji kocha atengeneze nidhamu na nidhamu inatengenezwa kwa kocha mwenyewe kujiheshimu..Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...
So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?
Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?
Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
Nyie ndo wachovu ile timu hata angepewa mchezaji mzawa yule aliwahi kuishikilia kwa muda kipindi fulani mnaweza kufanya maajabu. Mnalizunguka duara la umasikini na shida mtabaki hivyo hivyo na katu hamtamfunga kigogo hata mmoja.Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..
Jamaa linadiscourage wachezaji na bado anahitaji makubwa kutoka kwao..hovyo huyu jamaa!!..Hatukatai kuwa tunaweza kuwa na mapungufu kama timu at some point lakini Mourinho ndo anaongeza matatizo zaidi
Sack him..hire director of football and a new manager be either Jardim,Eddie howe, or Zidane..
Sidhani kama nimekuelewa..Nyie ndo wachovu ile timu hata angepewa mchezaji mzawa yule aliwahi kuishikilia kwa muda kipindi fulani mnaweza kufanya maajabu. Mnalizunguka duara la umasikini na shida mtabaki hivyo hivyo na katu hamtamfunga kigogo hata mmoja.
I agree with Mourinho's observation on his players individual sub par performance match in match out, but I fully disagree with his style of presentation.
The other thing is that, He has personally failed to resolve the problem, when you have sub par individual players, as a coach you need to build a team,
What does this mean, man u is bound to fail.
Bahati nzuri na wewe umekubali kwamba SAF alikuwa ana power (kwenye maelezo) na hiyo ndio hoja yangu. Power ninayoongelea ni kusikilizwa na bodi na kufanya yale anayoamua yeyePower ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...
So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?
Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?
Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
Mkuu japo nitaonekana namtetea Mou. Vuta Picha Mou akimpiga na kiatu Pogba Leo nini kitatokea. Kwa Ferguson ilionekana yupo serious na mpira ila Kwa Mou haitoonekana hivyo. Mambo yamebadilika.Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...
So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?
Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?
Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
Katika vitu ambavyo tulikurupuka ni kumuuza Gualemo varela alikuwa beki mzur sana upande wa kulia japo kuna kipengele cha kumrudisha ila sikupenda kuondoka kwake.
Ndo huyo mkuu valeraKuna yule Dogo Valera na Michael Keane nahisi wamgetufaa sana. Japo bado wapo kina Mensah na Tuanzabe.
Valera aliyemuondoa ni Coutinho, aisee kuna mechi na Liverpool alizungukwa akaonekana hafai kabisaKatika vitu ambavyo tulikurupuka ni kumuuza Gualemo varela alikuwa beki mzur sana upande wa kulia japo kuna kipengele cha kumrudisha ila sikupenda kuondoka kwake.