Huyo sio kocha. Timu ndogo ndo za kupatia matokeo ila yeye ndo anapoteza.Nilichogundua mourinho anapata tabu kwenye hivi vi timu vidogo kufunga magoli hashambulii bado tunakaba na vyenyewe vinacheza mfumo kama wetu sasa ngoma inakuwa nzito
Yes. As soon as possible.•√Hatutaki tuchukue ligi kuu msimu huu lakini kushindwa kuwafunga palace OT ni ujinga mtupu..Tucheze basi vizuri kwenye baadhi ya games
•√Wakuu timu yetu ina shida nyingi ila Mourinho ni tatizo la kwanza..
•√Arsenal wameimarika kuliko sisi..flow ya mpira inaonekana,ila sisi ni kubahatisha tuu..
•√Mourinho ameshaichoka timu yetu kama pia sisi tulivyomchoka..Ni muda muafaka sasa atuachie timu yetu kwanza then mambo mengine yatarekebishika tu..
Ataachaje kuondoka timu inamaliza ya 14 msimu huu?David De Gea set for sensational move to PSG with deal poised to make him world's top earning goalkeeper
Wachezaji wamekosa kocha. Hata wewe kufanya kazi kwenye ofisi ambayo uongozi yake ni ya kipuuzi lazima ufanye kazi chini ya kiwango.Lukaku,Rashford, Pogba na Mata wanacheza kinafiki kama alivyosema mwenyewe kuwa hawachezi kwa moyo. Lukaku huyu wa leo ni tofauti na niliyemwona Everton
Hilo ni kweli kabisa. boss mbovu, hata ofic yake itakuwa mbovuWachezaji wamekosa kocha. Hata wewe kufanya kazi kwenye ofisi ambayo uongozi yake ni ya kipuuzi lazima ufanye kazi chini ya kiwango.
Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..Hilo ni kweli kabisa. boss mbovu, hata ofic yake itakuwa mbovu
Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..
Angalia Liverpool..Andy Robertson,,Milner,Wilnaldum,,Gomez..wewe kocha unaye pogba lakini hata kumfanya acheze unashindwa!!???..
Yan Man U ni litimu la kijingaa sana. Linatoa droo na Crystal Palace linanichania mkeka wanguu. Hiv december 5 ndy Arsenal Afungwe na Man U hii!
Liverpool au Man City hawana wachezaji wazuri kama United. Sisi tumekosa kocha. Hakuna mchezaji mbaya pale.Timu kibao tu zinacheza vizuri japo wanawachezaji waliokuwa wakawaida tu..
Angalia Liverpool..Andy Robertson,,Milner,Wilnaldum,,Gomez..wewe kocha unaye pogba lakini hata kumfanya acheze unashindwa!!???..
mna wakati magumu Aiseeh...si useme tu mkiingia top 4 mtashangilia kama mmechukua kombeUnited inataka kuwa kama Arsenal ambayo ikiingia top 4 inashangilia kama imechukua kombe.
Kwani wewe timu yako ipo top 4 hahahahahahahahahamna wakati magumu Aiseeh...si useme tu mkiingia top 4 mtashangilia kama mmechukua kombe
Yanatoka kwako hayo leo? Nilifikiri kwako wewe ni bora tubaki na Mourinho kuliko kuwa na pochettino unacheza vizuri lakini huna taji 😀 au nimefananisha mkuu?Naona zidane hana timu tungeanzia hapo kwanza hata yule kocha wa spurs aibwe ty hamna namna
Mech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?Yanatoka kwako hayo leo? Nilifikiri kwako wewe ni bora tubaki na Mourinho kuliko kuwa na pochettino unacheza vizuri lakini huna taji 😀 au nimefananisha mkuu?
Timu yenyewe arsenalmna wakati magumu Aiseeh...si useme tu mkiingia top 4 mtashangilia kama mmechukua kombe
Unaweza kubadilika..... Wengine tuliona mapema tuMech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?
Si swala la upande mmoja wa kocha tu hata management kama anafukuzwa kocha inabak management isiyo na mipango kisoka ipo kibiashara tabu iko palepale hao wamilik wa hii timu vilabu vya marekan wamevifanya vya kibiashara sio vya kushindania ubingwa wao ni pesaUnaweza kubadilika..... Wengine tuliona mapema tu
mi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.Si swala la upande mmoja wa kocha tu hata management kama anafukuzwa kocha inabak management isiyo na mipango kisoka ipo kibiashara tabu iko palepale hao wamilik wa hii timu vilabu vya marekan wamevifanya vya kibiashara sio vya kushindania ubingwa wao ni pesa