Hahahah haters bana hapa umeonesha rangi yako halisi ya moyoni kwako de gea? Kipa yupi bora pale wa kumuweka benchi?
Uki sahihi kabisaThibaut ni bora kuliko uyo kipofu
Uki sahihi kabisa
UkiwaUki ni nini?
Hizi post huwa zinakuja ikifungwa akichapwa mtu kimyaa viwete wanatembea vipofu wanapona hata wasiojua kuandika na kusoma huanza ikifungwaHii team ata ikicheza na alliance apo nyamagana itapigwa mno
Team ya kukaa nyuma tu ina mabeki 11 ni upuuzi mtupuHizi post huwa zinakuja ikifungwa akichapwa mtu kimyaa viwete wanatembea vipofu wanapona hata wasiojua kuandika na kusoma huanza ikifungwa
Ulipochapwa 2-3 hukuona hilo?Team ya kukaa nyuma tu ina mabeki 11 ni upuuzi mtupu
Ulipochapwa 2-3 hukuona hilo?
Hahahahaha mshabiki wa manchester city unazungumzia makombe manchester united baba lao englandUlivyochapa ukapata kombe sio?
Hahahahaha mshabiki wa manchester city unazungumzia makombe manchester united baba lao england
Yes saiv zimekuja penat za stelingKipindi hamna offside sawa mlikuwa mnakaba goal keeper lakini toka technology imekua mmekuwa kama njombe mji
Yes saiv zimekuja penat za steling
Basi mtachukua makombe yoteHaswa izo ndiyo tunazozitaka
Basi mtachukua makombe yote
We wa kupigwa na lyon?Hilo sio la kuuliza
We wa kupigwa na lyon?
Na ikipita sheria mpya ya usajili lazima pep akimbie si unakumbuka msimu wake wa kwanza?Wewe unapigwa hadi na watfod
Na ikipita sheria mpya ya usajili lazima pep akimbie si unakumbuka msimu wake wa kwanza?
Hahaha apewe lingard na damian uone hata kama nafas ya 3 atashikaPep hata asipo sajiri hauwezi mlinganisha na mou chizi