Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Huu ndo upuuzi wa uongozi wetu..sometimes naona mourinho hana shida sana..maana kila timu aliyopita atleast amekuwa na mwaka mmoja wa mafanikio..Offering players like Young and Valencia new contracts tells us everything about where we’re at. City never offered Yaya Toure a new contract, Liverpool didn’t offer Gerrard a new contract, Chelsea didn’t offer John Terry one. We’re stuck offering bang average players contracts.
Offering players like Young and Valencia new contracts tells us everything about where we’re at. City never offered Yaya Toure a new contract, Liverpool didn’t offer Gerrard a new contract, Chelsea didn’t offer John Terry one. We’re stuck offering bang average players contracts.
Mimi ninachofahamu kwa uhakika kwamba Man united ni timu kubwa sana duniani
Chelsea sare raia kimya
Aseno sare raia kimya
Barca kafungwa raia kimya
Kila raia ni Man united tu
Kwa sababuna mdomo sana, mkishinda kuanzia kocha wenu mpaka vikaragosi mnaongea kama mmemeza memory card, Sarri tangu ameichuku Chelsea hajapoteza game hata moja si michuano ya ndani au ya nje, lkn haongei ongei hovyo kwa sababu anajua safari bado ndefu... Lkn hicho kidude chenu kikishinda game mbili mfulizo tu basi ndo kinaonmgeea kama chiriku... Sasa kwa sababu mnaongea sana na leo tunataka muongee baada ya kutobolewa mara tatu...Mimi ninachofahamu kwa uhakika kwamba Man united ni timu kubwa sana duniani
Chelsea sare raia kimya
Aseno sare raia kimya
Barca kafungwa raia kimya
Kila raia ni Man united tu
Mmh mkuu umeswaki kweli?Kwa sababuna mdomo sana, mkishinda kuanzia kocha wenu mpaka vikaragosi mnaongea kama mmemeza memory card, Sarri tangu ameichuku Chelsea hajapoteza game hata moja si michuano ya ndani au ya nje, lkn haongei ongei hovyo kwa sababu anajua safari bado ndefu... Lkn hicho kidude chenu kikishinda game mbili mfulizo tu basi ndo kinaonmgeea kama chiriku... Sasa kwa sababu mnaongea sana na leo tunataka muongee baada ya kutobolewa mara tatu...
Shubamitt....
United inakuwa na kelele mingi kwa sababu ni "BIG TEAM"Kafungwa Barcelona 4 sembuse united
Lakini nyie ci huwa mna come back na kushinda?!
Mourihno leo ajatega sikio??
Leo imegoma kam bak mkuu
Hahaha kwa sababu Barca alifungwa ..na wewe ndo ufungwe??!Kafungwa Barcelona 4 sembuse united
Mkuu kwani kuna kocha au MTU huwa haongei , usitudanganye bana.Kwa sababuna mdomo sana, mkishinda kuanzia kocha wenu mpaka vikaragosi mnaongea kama mmemeza memory card, Sarri tangu ameichuku Chelsea hajapoteza game hata moja si michuano ya ndani au ya nje, lkn haongei ongei hovyo kwa sababu anajua safari bado ndefu... Lkn hicho kidude chenu kikishinda game mbili mfulizo tu basi ndo kinaonmgeea kama chiriku... Sasa kwa sababu mnaongea sana na leo tunataka muongee baada ya kutobolewa mara tatu...
Shubamitt....
Mmh mkuu umeswaki kweli?
Hahaha dah cute b unazingua?!Mmh mkuu umeswaki kweli?
kam bak iligoma kabisa ..man city sio watu wazuri...daah basi Mimi napitia comment nacheka tuu.
Muulize wao wakishinda huwa hawaongeiMkuu kwani kuna kocha au MTU huwa haongei , usitudanganye bana.
Ukimuona eden kimario mwambie kama anakuja kutoa pole aje siyo watu tushasahau ndiyo anakuja kutukumbusha machungu.Hahaha dah cute b unazingua?!
Mara ya mwisho mkuu Mentor alileta msiba apa Siku ya jumatano ..lakini kukawa sherehe gafla. Ila nadhan haku ondoa. Kwa hiyo nitamwambia mkuu eden kimario aje fasta kuomboleza kabla siku ya kuanua tanga haijafika.Ukimuona eden kimario mwambie kama anakuja kutoa pole aje siyo watu tushasahau ndiyo anakuja kutukumbusha machungu.
Kocha wako ni too much, kama anaweza kuongea akishinda kwa nini asisemwe akishindwa... 😂Mkuu kwani kuna kocha au MTU huwa haongei , usitudanganye bana.
Nimemkia hapa kuna mtu amenichefua hapa... Yani timu inatobolewa kila siku alaf mijitu inakuja inajisifu eti ni timu kubwa... Sasa timu kubwa wakat watu wanatoboa wanavyo taka 😂Mmh mkuu umeswaki kweli?