Mipango ya MOUH haieleweki kwa sasa hivi mkuu.Nlikuwa naona kwa kuwa pogba hayupo basi fred alitakiwa kuwepo uwanjani sasa sijui kamnunua wa nini na kwa hela ndefu kama ile halafu anakaa bench fred akicheza juu huwa namuona anafanya vizur
City alipak basi acha utani mkuu mara ya mwisho mahrez anakosa penat pale
Mnakuja kuanua tanga hapa.... Mikakati ya kuwaweka kileleni ilishindikana mkuu.Sana, maana mlikuja kufanya sherehe kwetu.
Nikawa najua tu nitawapata hapa.
Haka katabia wamekaanzisha msimu huu, hata jana niliona timu ikifanikiwa kwenda mbele wanajaa kama nyuki.Uliiona mechi mkuu!
Waligoma kufunguka kabisa, karibia wote walikuwa nyuma.
Na plan yao ilikuwa ya droo.
Mnakuja kuanua tanga hapa.... Mikakati ya kuwaweka kileleni ilishindikana mkuu.
Kiukweli nisingefurahi kuwekwa kileleni na ninyi, nilikuwa nawaombea kipigo tu.
Haka katabia wamekaanzisha msimu huu, hata jana niliona timu ikifanikiwa kwenda mbele wanajaa kama nyuki.
Achana na hizo kuna zile dakika sita za mwanzo kabla ya goli la kwanza..Mpira Unauma Jaman Tumepigiwa Pass Mia Kabla Ya Kufungwa Goli La Tatu
Mkuu kwa kitendo mlichokifanya Mungu anawaona.!
Kweli kabisa kaka, zile wings zao nazo unakuta zinakaba man to man... Bado viungo waoSasa ile game ya Liverpool karibia wote walikuwa wakabaji, hata mbele hawajaenda sana.
Sterling alikuwa akijaribu kwenda mbele anakwama, inabidi arudi nyuma.
Msimu huu wana approach ya 50 50 kukaba na kushambulia, ndiyo maana hata kufungwa wamefungwa magoli machache zaidi.
Kweli kabisa kaka, zile wings zao nazo unakuta zinakaba man to man... Bado viungo wao
maana wangeshinda au kutoa draw kusingekalika ..tulichofanya ni kuweka sawa hali ya amani katika tasnia ya soccer
Jamaa walikuwa wanashambulia kupitia left wing baada ya kumshtukia Young uchochoro... Alishindwa kumkaba Sterling kabisa.
Hii tabia aliianzisha LVG baada ya kuwarudisha Valencia na Young kama defencive players. Sasa naona imebaki baadala ya kutafuta beki ambao ni natural kwenye hiyo position.Hata sane alipoingia. Young si defencive player. Yule ni winger. Basi tu wanalazimisha mambo hawa.
Naona huu msimu ndipo wamejizatiti haswa maana wanakaba tofaut na msimu uliopita. Watatusmbua sana hawa... Watakutana na hawa madogo wanawapiga 5+Huu msimu ni kazi sana kuwafunga hawa jamaa, uwezekano wa kuchukua ubingwa wanao mkubwa.
Wana makosa machache mbele ya goli, wana kiungo nzuri, beki nzuri, wametimia sana.
Naona huu msimu ndipo wamejizatiti haswa maana wanakaba tofaut na msimu uliopita. Watatusmbua sana hawa... Watakutana na hawa madogo wanawapiga 5+
Anaweza akatambaa UEFA na EPL hadi mwisho mkuu, UEFA ya sasa hivi haina changamoto sana maana ukicheki zile big FIVE hazipo vizuri sana compared to pase ya City. So chance ni kubwa ya kufanya maajabu.Na hapo kwenye 5+ ndo tofauti na timu zetu ilipo, sisi unapata 2 - 1, 1 bila kwa taabu huku jamaa anavibutua.
Ana makosa machache sana golini ukilinganisha na timu zingine.
Atasumbua sana, naona kaandaa kikosi cha kupambana hadi UEFA, hataki kurudia makosa ya mwaka jana.
Anaweza akatambaa UEFA na EPL hadi mwisho mkuu, UEFA ya sasa hivi haina changamoto sana maana ukicheki zile big FIVE hazipo vizuri sana compared to pase ya City. So chance ni kubwa ya kufanya maajabu.
Labda apigwe kimbunga atoke relini, ila yupo vizuri jamaa.