Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili game lijalo tunahitaji kila kitu, ufundi, bahati na mikosi kwa majirani. Kushinda ni muhimu. Wachezaji wakilegea tunapigwa mkono.
 
Hili game lijalo tunahitaji kila kitu, ufundi, bahati na mikosi kwa majirani. Kushinda ni muhimu. Wachezaji wakilegea tunapigwa mkono.
Kufungwa tunaweza,ila sio mkono mkuu...

Kuna maeneo kama kesho tukiimarika tunaweza kufanya kitu

√Flank ya kulia kama ataanza rashford pale naamini tunaweza kuwasumbua city maana Mendy kwenye kumark yupo ovyo sana

√Kiungo pale kati kama watacheza kama inavyostahili hii gemu haiwezi kuwa rahisi kwa pep kama watu wanavyodhani..hapa naaminisha pogba akicheza vizuri na kuacha kufanya error ndogondogo,herrera akiblock mashambulizi kama inavyostahili

√all in all Jose sometimes ni master wa tactics tusubiri tuone maana kwenye mpira anything can happen
 
Hii takataka? Huyu uingereza umembakiza hapo hana ubavu wa kuwatia bench mahrez na sane.

Huyu dogo anajituma sana kipaji kweli kinaweza kuwa shida, lakini msimu uliopita alifunga magoli kumi na nane ya ligi yaani mtu anaetokea pembeni aliemzidi magoli ni Salah peke yake na Centre forward watatu tu (Kane,Aguero na Vardy).
 
Mfumo
 
Hii takataka? Huyu uingereza umembakiza hapo hana ubavu wa kuwatia bench mahrez na sane.
Mkuu takwimu hazidanganyi guardiola sio boya first eleven yake sterling kwanza
 
Mkuu takwimu hazidanganyi guardiola sio boya first eleven yake sterling kwanza
Kabebwa sana anakosa goli ngapi? Shida moja dogo akikaa banch timu inakuwa haina mwingireza muangalie national team
 
Kabebwa sana anakosa goli ngapi? Shida moja dogo akikaa banch timu inakuwa haina mwingireza muangalie national team
Ebu kuwa kam mtu anayeengalia mechi zote sio za timu yako utakuwa mshabiki mzur na s mahaba
 
Mzee hii ya kwamba naangalia mech yetu umeitoa wapi? Kwamba steling amzidi sane kwa ubora?
Ww ndio unayeanzisha ya sane jamaa anaongelea ubora wake katika kumalizia na hata idadi ya goal zipo waz kwa nn tunakuwa wagumu kukubali hata km ana ubovu lakin hauonekan kwa anachokifanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…