Manchester United (Red Devils) | Special Thread

bado mapema sana, ila kilichonifurahisha ni kutokumuona Lukaku hilo tu, hata sub hayupo.
 
Anaejua pogba anacheza nini humu uwanjani naomba aniambie
 
Man u tunacheza kama vile tumekutana uwanjani kwa mara ya kwanza,hakuna muunganiko kabisa
 
poor performance bora kuwa na Lukaku uwanjani kuliko Smalling na Matic period
 
poor performance bora kuwa na Lukaku uwanjani kuliko Smalling na Matic period
Nilisema huku matic kawa hovyo..na huyu smalling leo sijui anacheza nini..tunaitaji beki aisee,smalling bado,hajiamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…