Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shaktar won a lottery. Mbuzi kwenye gunia, kumbe fisi. 😂😂😂😂
 
Attachments

  • Dq3MYbxWkAAOVwu.jpg
    35.6 KB · Views: 32
Shaktar won a lottery. Mbuzi kwenye gunia, kumbe fisi.
Siku hizi bei za wachezaj hazielewek kila mmoja anavyolipuka tu kufuatana na mahitaj yake mfano barcelona kwa marcom ile ni bei halisi? Zaman kabla ya uhamisho wa christiano ronaldo ukitajiwa bei huwa inaenda sawa na kiwango cha mpira chukulia mfano dembele pesa iliyompeleka barca uje pogba to manchester united james rodriguez to madrid lukaku na morata inahitaj uwe na akili kutambua la sivyo kila kauli ukiichukulia juu juu utakimbilia kila jukwaa kishabiki
 
Usiniambie mimi mkuu. Hiyo ni nukuu ya watu wa Shaktar sijaandika mimi.

Anyways nijuavyo mimi hamna team inayotupa pesa hovyo kwa mchezaji bila ku consider ROI kulingana na potential ya mchezaji husika. Ukiokota galasa ndio hivyo tena.
 
Ndo mana nikasema soko la sasa halina uhalisia wa viwango vya sasa hata ukisoma sir alex kitabu chake anasema tuliwaambia madrid hela ndefu kwa christiano wakiamini madrid watashindwa walitoa hela madrid kisha wakajipongeza sir alex na divid gill kwq kupiga hela kumbe walikuwa wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…