Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Point moja tu tumepoteza 3
Wewe ni Chelsea fanMichezo mitatu droo 1, kufungwa 2. Then unasema umecheza vizuri.
Labda mimi sijaelewa maana ya kucheza vizuri huku timu inapigwa.
Hii picha ukiiangalia kwa kufkiria hapo utasema martial ataupiga huo mpira kwenda near post.
Wewe ni Chelsea fan
Hayo magoli nakumbuka alikua akifunga ashley you wakati akitokea Anstonvilla jamaa alikua noma sana.Martial ni mfungaji goli zake ni ngumu mno.View attachment 914423View attachment 914424
Pogba bwana huyo jamaa hata sijui hua anafkiria nin anapokua uwanjani akifanya nzur bas hamalizi game kuharibu.Pogba anakuofa vitu viwili kwa wakati mmoja furaha na karaha hapo hapo
game ilikuwa nzuri tofauti na matarajio yangu.....Mata anafanya mambo magumu kuwa mepesi.
three important points kibindoni
GGMU
Pogba tushamzoea yeye kuharibu hua hachelewi.√Lukaku aendelee kusugua yeye sio mungu mtu pale OT..Rashford,Mata,Martial pale mbele kunakuwa na transition nzuri hasa tukiwa tunashambulia..Rashford inabidi aboreshe kidogo utulivu.
√Martial was excellent today..amehusika kwenye goli zote mbili..amekosa goli dakika za mwisho lakini nimeona amejutia,kitu ambacho inabidi wachezaji wetu wawe nacho..
√Lindelof gemu hizi mbili kama amepeak up hivi kiwango chake..kawa kitasa kweli kweli..naamini tu jamaa ni beki mzuri wa mpira huu wa kileo ila pale nyuma anakosekana kiongozi kama alivyokuwa Rio Ferdinand
√Pogba huwa hajisikii vizuri asipotoa blunder kidogo kwenye gemu??..But huyu ni engine ya timu,,don't get me wrong
√Fred..somehow leo ametulia..hopefully ataendelea kupata nafasi
√Matic kuna muda anacheza kama mlevi vile..sijui amepatwa na nini??..Maybe ni uchovu tu.
Ni mapema sana kuiona united haiwezi Pata matokeo kwa timu kubwaHapana, but does it make difference?
Kwamba niliyoyaandika yako kishabiki?
Ni mapema sana kuiona united haiwezi Pata matokeo kwa timu kubwa
Ok nipe list ya timu ambazo wewe unafikiri man united anaziogopaMpaka muda huo ukifika, ila kwa sasa siyo timu unayoweza kujisifu nayo eti inamwogopa Barca peke yake.
Ok nipe list ya timu ambazo wewe unafikiri man united anaziogopa
Na ingekuwa United Leo dunia ingesimamaMadrid wamelambwa sanaaa jana
Hapo ndo ubaona ukuu wa United.Na ingekuwa United Leo dunia ingesimama
This is our year liverpool.Manure kwisha 'abary yake
wazee wa kazi lindelof kawa bonge ya deffender,mechi ya jana na ya juve jamaa kajiamini mpk nashangaa imekuaje gafla hivyo.
ila wakitengeneza partnership na bailly 5 na 2 itakuwa vzr sana.
hongera lindelof kwa perfomance nzuri