Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msaada Tutani

Mates...got problem ktk ku access JF via my PC, ila simu naweza..sijajua tatizo hili na exp mm peke angu au wengi?

BTW natumia moderm (vd)...any idea wajameni?, wiki ya pili kama sio tatu am facing the same P.
GGMU!
 
mashabiki wa Man utd kujifanya mnajua wkt 0 mpo juu sana..leo mnamkosoa SAF!wkt msimu unaanza mlipiga makelele km eti HAKUNAGA km MAN UTD leo mnafungwa kipuuzî,mnajifanya kumpangie kikosi SAF..ktk soka kuna matokeo ya aina 3.km mnataka team ya kushinda daily geukie la liga..
 
Msaada Tutani

Mates...got problem ktk ku access JF via my PC, ila simu naweza..sijajua tatizo hili na exp mm peke angu au wengi?

BTW natumia moderm (vd)...any idea wajameni?, wiki ya pili kama sio tatu am facing the same P.
GGMU!

Wacha uongo timu inapofanya vizuri upo 247.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nunua Norton internet security inaweza kukusaidia usitumie kaspersky khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2210253.jpg

Naona umeamua kumwaga radhi .... .... .....

article-2082879-0F570F0200000578-557_468x262.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wacha uongo kuna wahongaji wakubwa kuliko wadhungu? Au kwa sababu magoli ya jana yalikuwa matakatifu ambayo hata refa hawezi kuyazuia? Naona umekurupushwa pangoni, zile orlando ndio za kuwafunga watoa bahasha wakubwa.
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

typical mbongo....full of crap
:A S embarassed:
 
He's 70 yrs old, 25 yrs in service as a Manager and he thinks shit. The club should get rid of him to avoid loosing fans, popurality and trophies.

upuuzi na akili za kibongo...

timu ikishinda, its bse SAF has got experience, amekuwa pale kwa muda mrefu so ametengeneza system nzuri na sifa nyingine kede kede...timu ikishindwa, ooh amezeeka, amechoka aondoke....ujinga mtupuuu.

wakati mwingine ni vema kukubali kwamba the opposition was better off na ndiyo sababu timu imefungwa , move forward and learn from the mistakes....hivi ni lini wabongo mtatambua hili???!!!!
 
Mwenzetu una akili za wapi?

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha uongo timu inapofanya vizuri upo 247.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nunua Norton internet security inaweza kukusaidia usitumie kaspersky khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahaha! mkuu huwez kutoa msaada bila kurisha dongo...anywys, thx kwa tip.
 
hapa ndio hua tunakosea. Man utd ina matatizo ya Kocha na sio wachezaji. Hata aje xavi tutaendelea kula buyu. Anapanga timu utadhani anacheza playstation. Pia timu imejaa liabilities, watu kama anderson, rio, evans, evra, nani, berbatov, da silva brothers, owen, gibson etc. Wapo kwa sababu kocha anawalinda
Kweli SAF anasababisha matatizo ya Manu lakini sio kama unavyolaumu,tatizo la majeruhi limemfanya SAF kuwachezesha wachezaji katika nafasi zisizo zao.Kwa upande wangu sikubaliani na SAF kumchezesha Valencia fullback,Rooney midfielder,Park na Giggs kucheza kama viungo wa kati wakati wao ni mawinga.Phil Jones leo atacheza fullback,next game atacheza kiungo then anakuja tena kuchezeshwa beki wa kati.Kuna vijana kutoka Academy kina Morison na Pogba wangeweza kupewa nafasi kuziba mapengo kuliko kuwachezesha wachezaji nafasi ambazo sio zao wachezeshwe kama hamna wachezaji kabisa kwa mfumo wa sasa sioni kama kuna mchezaji atatoka academy kujiunga na kikosi cha kwanza.Kuna wachezaji kama Michael Owen,Diouf,Ryan Giggs,Daron Gibson,John Evans hawa kwa sasa hawatufai Rio,Park,Carick hawa wabakishwe kwa at least msimu mmoja ili tuweze kutafuta wa kuziba mapengo yao.Kwa kiwango cha Newcastle kweli tulistahili kufungwa but wasiwasi wangu tusipoangalia tunaweza kuendelea kufungwa sana
 
Good news for United, Welcome back Scholes njoo tu save United....
 
Kila la heri Man Utd......
 
Attachments

  • 374689_2472046608678_1477786297_31939883_975384385_n.jpg
    374689_2472046608678_1477786297_31939883_975384385_n.jpg
    16.4 KB · Views: 23
Nipo Samaki samaki mliman City nimevaa jezi ya
“ Why Always Me”
Karibuni
 
nilikuwa nakula baada ya kuona mshabiki wa city ana puto la 6 - 1 kidogo nipaliwe kwA kicheko..

good luck watani...
 
Back
Top Bottom