Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Umeanza experience badala ya fact... Mwenzio nimemwaambia alete statistics amekimbia, we nae umekuja et anawindwa... Badala utuletee data za uwanjani hapa unaanza kulete longolongo... Mwishowe utasema ni bora kwa sababu ni fundi wa hair styleLipogba value yake ina-reflect quality yake. Mchezaji wa kiwango pale Chelsea ni Hazard tuu. Ukiona umesajiri mchezaji ambaye haujapata upinzani mkubwa kutoka opponents wakubwa jua huyo ni average na inabidi umtengeneze kuwa big.
Angalia Lipogba anatakiwa na clubs zote kubwa duniani licha ya kujua ni ngumu United kumwachia. Sijaona Joginyo akiwindwa.
SijuiHaya niambie sasa kwamba mpaka saiz umebaki na world class player wangapi
Fundi anagombaniwa na giants club mzaz sasa Fundi gan asie hata na tetesi yakutajwa na club kubwa yoyote AF pia uyo ginyo angekuwa Fundi angeipeleka mbali sana Italy anabak kupiga mipasi isiyo na efdectUmeanza experience badala ya fact... Mwenzio nimemwaambia alete statistics amekimbia, we nae umekuja et anawindwa... Badala utuletee data za uwanjani hapa unaanza kulete longolongo... Mwishowe utasema ni bora kwa sababu ni fundi wa hair style
Yale yale ya bakayoko na matic sina hata cha kukwambia kwanza najitia aibu kujadiliana na mtu kama weweAsee hujui mpira, hivi pale man u una midiefield kama Jorginho... Leta statistics za huyo Matic dhid ya Joginho this season....
Ndo mana nasema man u mashabiki ndo mmebaki wapiga kelele...
Lkn nashukuru umekiri kwamba Man u hakuna midiefield kama Kante
Stastics za kupiga pasi hivi nyie washabik wa timu za kuzuka kama uyoga mnajitambua kweli? Jordan henderson wa liverpool alikuwa na takwimu kama za huyo mrembo wako lakin inapofikia suala la value hata kwa pogba hatii mguuUmeanza experience badala ya fact... Mwenzio nimemwaambia alete statistics amekimbia, we nae umekuja et anawindwa... Badala utuletee data za uwanjani hapa unaanza kulete longolongo... Mwishowe utasema ni bora kwa sababu ni fundi wa hair style
Sasa nao chelsea wapo kwenye mbio za ubingwa? Kesho arsenal mnakuwa nae sawa hadi mwez wa 12 mtapigania top 4 nakwambiaNa ndio maana alichukua kikomba, sasa wew saiz tu ulisha tobolewa kias hcho bado uko kwenye mbio za ubingwa kweli?
De gea,pogba,matic,Haya niambie sasa kwamba mpaka saiz umebaki na world class player wangapi
Ndo mana nakwambia wewe unaongozwa na chuki sio mpira hiyo lig aliyotoka kiungo wako huyu mnyama kabeba kila kitu sina haja ya kuingia ndani sana wewe danganyika na vipasiUmeanza experience badala ya fact... Mwenzio nimemwaambia alete statistics amekimbia, we nae umekuja et anawindwa... Badala utuletee data za uwanjani hapa unaanza kulete longolongo... Mwishowe utasema ni bora kwa sababu ni fundi wa hair style
Mkuu mipasi yake ina effect ndo mana clabu yake iko juu ki msimamo kuliko ya huyo pogba mwenye mipasi isiyo na effect...Fundi anagombaniwa na giants club mzaz sasa Fundi gan asie hata na tetesi yakutajwa na club kubwa yoyote AF pia uyo ginyo angekuwa Fundi angeipeleka mbali sana Italy anabak kupiga mipasi isiyo na efdect
Mkuu mbona unaleta stastics za 2014 mi nimekwambia naomba za this season, sasa mtu ashakua garasa bado unamlinda na data za miaka hyo.. Hata Lukaku kuna kipindi alikua bora lkn leo mnamwita garasaNdo mana nakwambia wewe unaongozwa na chuki sio mpira hiyo lig aliyotoka kiungo wako huyu mnyama kabeba kila kitu sina haja ya kuingia ndani sana wewe danganyika na vipasiView attachment 906834
Wakat huo timu yako inakua iko wapi 😂😂😂Sasa nao chelsea wapo kwenye mbio za ubingwa? Kesho arsenal mnakuwa nae sawa hadi mwez wa 12 mtapigania top 4 nakwambia
kitu 4 3 3, kwa upande wangu naiona nafasi ya Rojo pale nyuma, huyu dogo anahitaji motisha ya mechi kubwa kubwa ili ku'maintainNingetembea hivi
De gea
Young Smalling Lindelof Shaw
Herrera Matic Pogba
Mata Rashford Martial
Ushwahi kuona mchezaj bora wa ligi anachaguliwa ndani ya mechi 9?Mkuu mbona unaleta stastics za 2014 mi nimekwambia naomba za this season, sasa mtu ashakua garasa bado unamlinda na data za miaka hyo.. Hata Lukaku kuna kipindi alikua bora lkn leo mnamwita garasa
Timi yangu umeizid pont 7 tu chache mnoWakat huo timu yako inakua iko wapi
Pogba ukimweka sokon huwezi kumuuza bei sawa na huyo mchezaji wako nimekwambia unakumbuka bakayoko alipocheza mechi kama hizo na ulinganifu wa matic? Saiv hata ac milan hana nambaMkuu mbona unaleta stastics za 2014 mi nimekwambia naomba za this season, sasa mtu ashakua garasa bado unamlinda na data za miaka hyo.. Hata Lukaku kuna kipindi alikua bora lkn leo mnamwita garasa
Umemaliza mkuuNdo mana nakwambia wewe unaongozwa na chuki sio mpira hiyo lig aliyotoka kiungo wako huyu mnyama kabeba kila kitu sina haja ya kuingia ndani sana wewe danganyika na vipasiView attachment 906834
Mkuu huyu anamtetea joginyo mzee wa back pas.yan defence na defence midfielder ndo wamepiga pasi nying chelsi meaning wanapasiana wao kwa wao kama kupoteza mudaStastics za kupiga pasi hivi nyie washabik wa timu za kuzuka kama uyoga mnajitambua kweli? Jordan henderson wa liverpool alikuwa na takwimu kama za huyo mrembo wako lakin inapofikia suala la value hata kwa pogba hatii mguu